Thomas Brown
JF-Expert Member
- Jan 25, 2025
- 344
- 856
Huyo dogo mkubwa ni Jux mtupu. Imekaaje hii?
Kwamba nyie walamba lips na wachonga nyusi hamna uwezo wa kuzalisha ndio maana mna vikampeni vya kijinga vya kataa ndoa.Kwamba?
Jux mtupu mkuu, wetazama hadi masikio na komwe hilo...πKwamba?
Utavunja Unyumba Wa Watu, WeweHuyo dogo mkubwa ni Jux mtupu. Imekaaje hii?
Wewe mda sio mrefu nita ku ignore .Kwamba nyie walamba lips na wachonga nyusi hamna uwezo wa kuzalisha ndio maana mna vikampeni vya kijinga vya kataa ndoa.
Kwa staili hii? Hata ungo wa bibi haturushiiiu mkuuWazee tutarusha kweli Satellite?
Hata mimi sijaelewa aisee. πKwamba?
Hamna aiseeWazee tutarusha kweli Satellite?
Daahh mkuu , wanaume kutumia hii lugha inaleta ukakasi kidogoHili mbona tulilimaliza humu tena tuliokuwa tunasema ni wa jux tulichambwa tukachambika!
Wengine wanaandika vitu wanafikiri tu bila maelezo wakijua wengine watajua walifikiri nini π€Hata mimi sijaelewa aisee. π
Mlete demu wako nimpe huo ukakasiDaahh mkuu , wanaume kutumia hii lugha inaleta ukakasi kidogo
Tusifike huko ndugu yangu bwana. Basi wewe endelea kuchambwa mpaka uchambike kama unaona ni sawaMlete demu wako nimpe huo ukakasi