Mtoto wa kiume wa Vanesa Mdee shikamoo wewe mlamba lips!

Nimekuwa mzee inaniwia vigumu kutambua picha ni manyani gani hayo
 
Hivi ilikuwaje mtoto akafanana na ex je waliachana akiwa na mimba?yaani sielewi inakuwaje.
 
Acheni kuvuruga ndoa za watu , Jux miaka yote aliyokuwa na VMoney hakuna chochote alichosababisha ,V kaenda kwa Rotim then ndiyo akasababisha ,huyo mtoto ni wa Rotim .hizo za kusema amefanana na Jukiss ni illusion tu na kama V angetembea na Dayamondi mngesema kafanana na Dai ,wabongo wanapenda kuongea sana.
 
Angalia Pua Jux hana Pua ya hivyo watoto wote Rotimi angalia Pua zao
 
Huyo Juma kapata lini mbegu?acheni upashkuna wenu mkiona watu wametulia kwenye mahusiano yao mnaanza chokochoko
Muwe na akiba ya maneno... siku akizalisha mkewe mpya mbegu atakua kampa babako? Nonsense
 
Hapo ulipo hata ule mswaki wako uliochakaa brush hujatia kinywani unaamka na na maneno ya ajabuajabu.hebu kanunue visambusa vya viazi ule upate nguvu ya kuanza siku kwa amani na sio makasiriko..
 
Ayeeeaaa yeee
Ayeeeaaa yeee
Ayeeeeeee
Naona wameremeta
Ngozi imenawili, una furaha now
Kitanda hakina siri
Zao la tendo, una kitumbo wow
Mnapendezana
..........

Niko salama, mimi sina neno. (Aaaah aaah)
Utaitwa mama
Mtoto mpe upendo (Aaaah aaah)
Niko
 
Hapo ulipo hata ule mswaki wako uliochakaa brush hujatia kinywani unaamka na na maneno ya ajabuajabu.hebu kanunue visambusa vya viazi ule upate nguvu ya kuanza siku kwa amani na sio makasiriko..
Huna akili ndo maana majibu cheap... jibu hoja, akimpa mimba mkewe mpya babako atakua katoa mbegu?????

Bure kabisa, sio kila mtu anataka kuzalisha single mothers kila nchi, halafu mtu mwenye uwezo kiuchumi, kuzaa ni kuamua unless uwe huna mbegu na mayai kabisa

Narudia tena.... huna akili huna akili huna akili kitu umebeba ni kamasi tu kichwani na vimajibu vya kitoto while ni limama lizima
 
Huyo Dogo kafanana sana na jux, Yale Yale ya Mayele na Diarra .
 
Hapo ulipo hata ule mswaki wako uliochakaa brush hujatia kinywani unaamka na na maneno ya ajabuajabu.hebu kanunue visambusa vya viazi ule upate nguvu ya kuanza siku kwa amani na sio makasiriko..
😂😂😂
JF hatari sana.
 
Kalonzo.jpg
downloadfile.jpg
 
Back
Top Bottom