Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Tunapo waambia wanawake muache kubadilisha badilisha wanaume haya ndo madhara yake, unapomwagiwa sperm ujue zinaenda ku adhiri hormone zako, matokeo yake ndo hayo ukija kuzaa na mwanaume mwingine lazima tuu kuna character za mwanaume wa zamani atazibeba mtoto wakoHivi ilikuwaje mtoto akafanana na ex je waliachana akiwa na mimba?yaani sielewi inakuwaje.
Refer to
Watoto wa masanja na katibu
Nillan wa Diamond na the late Ivan