Mtoto wa kiume wa Vanesa Mdee shikamoo wewe mlamba lips!

Kama ilikuwa rahisi kumtia mimba huyo Vanessa, mbona alikaa naye zaidi ya miaka 6 na hakumpa hiyo mimba yenyewe?

Tuwaache Wanandoa wafurahie matunda ya Ndoa yao.

Kumbukeni "Kitanda hakizai haramu"
 
Vanessa aseme ukweli , mtoto ni wa Jux.
Rotimi shtuka umesingiziwa mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…