๐— ๐˜๐—ผ๐˜๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜‡๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ถ๐˜๐—ถ๐—ฎ ๐˜๐—ฒ๐—ธ๐—ป๐—ผ๐—น๐—ผ๐—ท๐—ถ๐—ฎ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—บ๐—ธ๐—ฒ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐— ๐˜๐—ผ๐˜๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜‡๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ถ๐˜๐—ถ๐—ฎ ๐˜๐—ฒ๐—ธ๐—ป๐—ผ๐—น๐—ผ๐—ท๐—ถ๐—ฎ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—บ๐—ธ๐—ฒ



Kwa mara ya kwanza Dunia imepokea tukio la ajabu baada ya mtoto wa kwanza kuzaliwa pasipo mwanamke, mtoto huyo amezaliwa kupitia mfumo wa Fertilo yenye kutumia teknolojia ya ovarian support cell (OSC) ambayo huweza ku control yai nje ya mwili wa binadamu.



Utoaji huo wa mtoto umefanyika kupitia kliniki Moja ya Santa Label huko Lima kwenye nchi ya Peru, hii ikiwa ni hatua kubwa kwenye maendeleo ya uzalishaji wa mtoto kupitia Teknolojia.

Mbinu za kitamaduni mwanamke anapofanya mapenzi na mumewe (tendo la ndoa) mfumo wa homoni za kuonyesha Mabadiliko Kuna kiumbe anacho tumboni uanza kuanzia siku 10 - 14 lakini mfumo wa Fertilio yenyewe huweza hutumia chembechembe changa za kuunda yai na kukomaa kupitia maabara ndani ya siku Tatu tu.



Fertilio Ni njia salama ya haraka na mbadala inayoweza kutumiwa zaidi ya njia ya utamaduni, mfumo huu utaweza kutumiwa na nchi mbalimbali kama vile china, Australia, Usa nk.



Hatua hii inaonyesha maendeleo makubwa katika uzazi ambapo sio lazima mama abebe mimba kupitia tu maabara mtoto anaweza kuzaliwa na kuwa na Afya njema huku wazazi wakapunguza mzigo wa kulea mimba miezi 9 badala yake wanasubiri mt
oto tu.
 

Attachments

  • Screenshot_20241218-213807_Instagram.jpg
    292.3 KB · Views: 1
Good,[emoji48]but not good[emoji30][emoji17]
 
WAPUMBAVU WA MAKANISANI WATAKUAMBIA HUYO MTOTO NI NAFSI YA NNE YA MUNGU๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ