๐— ๐˜๐—ผ๐˜๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜‡๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ถ๐˜๐—ถ๐—ฎ ๐˜๐—ฒ๐—ธ๐—ป๐—ผ๐—น๐—ผ๐—ท๐—ถ๐—ฎ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—บ๐—ธ๐—ฒ

View attachment 3179822

Kwa mara ya kwanza Dunia imepokea tukio la ajabu baada ya mtoto wa kwanza kuzaliwa pasipo mwanamke, mtoto huyo amezaliwa kupitia mfumo wa Fertilo yenye kutumia teknolojia ya ovarian support cell (OSC) ambayo huweza ku control yai nje ya mwili wa binadamu.

View attachment 3179823

Utoaji huo wa mtoto umefanyika kupitia kliniki Moja ya Santa Label huko Lima kwenye nchi ya Peru, hii ikiwa ni hatua kubwa kwenye maendeleo ya uzalishaji wa mtoto kupitia Teknolojia.

Mbinu za kitamaduni mwanamke anapofanya mapenzi na mumewe (tendo la ndoa) mfumo wa homoni za kuonyesha Mabadiliko Kuna kiumbe anacho tumboni uanza kuanzia siku 10 - 14 lakini mfumo wa Fertilio yenyewe huweza hutumia chembechembe changa za kuunda yai na kukomaa kupitia maabara ndani ya siku Tatu tu.

View attachment 3179824

Fertilio Ni njia salama ya haraka na mbadala inayoweza kutumiwa zaidi ya njia ya utamaduni, mfumo huu utaweza kutumiwa na nchi mbalimbali kama vile china, Australia, Usa nk.

View attachment 3179825

Hatua hii inaonyesha maendeleo makubwa katika uzazi ambapo sio lazima mama abebe mimba kupitia tu maabara mtoto anaweza kuzaliwa na kuwa na Afya njema huku wazazi wakapunguza mzigo wa kulea mimba miezi 9 badala yake wanasubiri mt
oto tu.
Wafia dini watakuja kupinga,pedophile aliharibu akili za watu.

All in all kazi nzuri sana wanasayansi.
 
huku ndo nilikuwa natamani sayansi ifike, tumechoka na vimaneno "huyu mtoto nimembeba tumboni miezi tisa".

ifike huku fasta, nikitaka mtoto nanunua yai kwa pisi moja kali naweka mbegu zangu, kitu kinawekwa kwa chupa baada ya 9months nafuata kichanga changu.

simple like that

ephen_
Evelyn Salt
 
Umechoka kuambiwa tuma ada ๐Ÿ˜น
 
Mtoto wangu apitie process zote kutoka viunoni kwenda Kwa mamake akae ajenge bond na mama yake Kwa tumbo 9months... Azaliwe Kwa kulia moyo wangu utajaa amani... Na kutulia.
 
huku ndo nilikuwa natamani sayansi ifike, tumechoka na vimaneno "huyu mtoto nimembeba tumboni miezi tisa".

ifike huku fasta, nikitaka mtoto nanunua yai kwa pisi moja kali naweka mbegu zangu, kitu kinawekwa kwa chupa baada ya 9months nafuata kichanga changu.

simple like that

ephen_
Evelyn Salt
Sasa kama mtoto nimembeba miezi 9 nisiseme?
 
Hii habari hata ukiitafuta kwenye search engine unakuta inapatikana JF tu
 
WAPUMBAVU WA MAKANISANI WATAKUAMBIA HUYO MTOTO NI NAFSI YA NNE YA MUNGU๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
mfumo wa Fertilo yenye kutumia teknolojia ya ovarian support cell (OSC) ambayo huweza ku control yai nje ya mwili wa binadamu.((Yai lililokwisha kurutubishwa))
Kilichofanyika ni kubadilisha kikombe cha kunywea chai Kutoka kikombe cha plastic kwenda kikombe cha kupasuka...Lakini chai ikiwa ni Ile Ile.
 
Mwishowe tutakuja kuletewa vitoto vyenye nasaba ya mazombi huko maabara.
 
Hili Tundu Lisu linamsaidia nini!!??
 
๐— ๐˜๐—ผ๐˜๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜‡๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ถ๐˜๐—ถ๐—ฎ ๐˜๐—ฒ๐—ธ๐—ป๐—ผ๐—น๐—ผ๐—ท๐—ถ๐—ฎ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—บ๐—ธ๐—ฒ

View attachment 3179822

Kwa mara ya kwanza Dunia imepokea tukio la ajabu baada ya mtoto wa kwanza kuzaliwa pasipo mwanamke, mtoto huyo amezaliwa kupitia mfumo wa Fertilo yenye kutumia teknolojia ya ovarian support cell (OSC) ambayo huweza ku control yai nje ya mwili wa binadamu.

View attachment 3179823

Utoaji huo wa mtoto umefanyika kupitia kliniki Moja ya Santa Label huko Lima kwenye nchi ya Peru, hii ikiwa ni hatua kubwa kwenye maendeleo ya uzalishaji wa mtoto kupitia Teknolojia.

Mbinu za kitamaduni mwanamke anapofanya mapenzi na mumewe (tendo la ndoa) mfumo wa homoni za kuonyesha Mabadiliko Kuna kiumbe anacho tumboni uanza kuanzia siku 10 - 14 lakini mfumo wa Fertilio yenyewe huweza hutumia chembechembe changa za kuunda yai na kukomaa kupitia maabara ndani ya siku Tatu tu.

View attachment 3179824

Fertilio Ni njia salama ya haraka na mbadala inayoweza kutumiwa zaidi ya njia ya utamaduni, mfumo huu utaweza kutumiwa na nchi mbalimbali kama vile china, Australia, Usa nk.

View attachment 3179825

Hatua hii inaonyesha maendeleo makubwa katika uzazi ambapo sio lazima mama abebe mimba kupitia tu maabara mtoto anaweza kuzaliwa na kuwa na Afya njema huku wazazi wakapunguza mzigo wa kulea mimba miezi 9 badala yake wanasubiri mt
oto tu.
Acha kueneza uvumi wa vitu ambavyo havijatokea. Hii technologia ni Bado na hakuna mtoto alieisha zaliwa kwa njia hii
 
Kwa mara ya kwanza Dunia imepokea tukio la ajabu baada ya mtoto wa kwanza kuzaliwa pasipo mwanamke, mtoto huyo amezaliwa kupitia mfumo wa Fertilo yenye kutumia teknolojia ya ovarian support cell (OSC) ambayo huweza ku control yai nje ya mwili wa binadamu.
Ila yai limetolewa kwa mwanamke na mbegu kwa mwanaume zikaunganishwa halafu "kijusi" kikapatikana, kikakuzwa maabara hadi mtoto akakamilika, si ndiyo?

Je, ilichukua miezi 9 pia kukua na kutimia kama kwa mfumo wa asili?
 
Teknolojia ndo ipo kwenye majaribio Bado hata haijakamilika Wala hakuna mtoto aliyezaliwa.

Hiyo habari kaisoma YouTube kama sikosei nami niliona ila yeye kaamua kuipindisha tu. Bado ni wazo ila yai linarutubishwa Kisha roboti yenye placenta n.k inawekewa Hilo yai linakuwa katika mazingira kama ya tumboni, ni wazo la Elon mask lakini Bado ndo linatafitiwa hakuna aliyezaliwa Wala majaribio.
 
Coming to leave in a very challenging world with such a name is no joke
 
Back
Top Bottom