๐— ๐˜๐—ผ๐˜๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜‡๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ถ๐˜๐—ถ๐—ฎ ๐˜๐—ฒ๐—ธ๐—ป๐—ผ๐—น๐—ผ๐—ท๐—ถ๐—ฎ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—บ๐—ธ๐—ฒ

Naujua ukristo kuliko mtanzania yoyote na naujua uislamu kuliko shekh yoyote ndiyo maana unaona waislamu wa hapa JF wanabaki kimya ninapo usema uislamu vibaya niliwaambia waislamu hapa kuwa mudi boy siyo mtume wala yeye mwenyewe ajui mtume ni nini ? Wakabaki kimya unadhani kwanini ...wewe na hao wapumbavu wa madhehebu ya dini amwezi kunifundisha chochote kuhusu dini na haki ...kwanza wakristo na waislamu amjui hata dini ni nini ? Wala amjui Mtume ni nini ? Ndiyo maana ninapo wajia waislamu hapa JF na kuwaambia kuwa muhammad alikuwa ajui hata mtume ni nini ? Uwezi kuwakuta kina faiza foxy wakijibu bali wanajificha au unadhani wanapenda.
Hamna namna ya kuishi bila MUNGU au uganga/uchawi.....lazma uwe mfuasi wa kundi mmojawapo, ni suala la muda TU utanielewa
 
NANI KAKUAMBIA KUWA WEWE NI MJINGA๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„ WEWE NI MPUMBAVU SIYO MJINGA ...KAMA UMJUI MUNGU NIOMBE NIKUFUNDISHE DINI NI NINI ? UACHE KWENDA KWA WSPUUZI WA MAKANISANI NA MADHEHEBUNI.
Kati sitaacha ndio furaha na amani ya moyo wangu ilipo, hapa natamani jumapili ifike
 
Hamna namna ya kuishi bila MUNGU au uganga/uchawi.....lazma uwe mfuasi wa kundi mmojawapo, ni suala la muda TU utanielewa
Hapo kwenye kuishi na mungu ndiyo mnapo jidanganya na kujipa undugu na mungu feki ambaye ni ibilisi ...nitsjie mtu mmoja tu anaye ishi na mungu nina maswali..hata wa hindi wana mungu na wanaishi na mungu ila mungu wao ni ng'ombe
 
Kati sitaacha ndio furaha na amani ya moyo wangu ilipo, hapa natamani jumapili ifike
Kuna mlokole mmoja alinijia kunieleza habali za yesu nilimpiga nondo hadi kakimbia makanisa baada ya kumwambia injili ya kweli ya mungu mmoja mwenye nafsi moja
 
Kwenye Biblia tulitishwa kua Ni yesu pekee aliezaliwa bila mwanamke kutombw na mwanaume.

Huyo dogo WA Peru kampita mpk yesu maana dogo Hata tumbo la mama halijui na kazaliwa fresh kabisa
 
๐— ๐˜๐—ผ๐˜๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜‡๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ถ๐˜๐—ถ๐—ฎ ๐˜๐—ฒ๐—ธ๐—ป๐—ผ๐—น๐—ผ๐—ท๐—ถ๐—ฎ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—บ๐—ธ๐—ฒ

View attachment 3179822

Kwa mara ya kwanza Dunia imepokea tukio la ajabu baada ya mtoto wa kwanza kuzaliwa pasipo mwanamke, mtoto huyo amezaliwa kupitia mfumo wa Fertilo yenye kutumia teknolojia ya ovarian support cell (OSC) ambayo huweza ku control yai nje ya mwili wa binadamu.

View attachment 3179823

Utoaji huo wa mtoto umefanyika kupitia kliniki Moja ya Santa Label huko Lima kwenye nchi ya Peru, hii ikiwa ni hatua kubwa kwenye maendeleo ya uzalishaji wa mtoto kupitia Teknolojia.

Mbinu za kitamaduni mwanamke anapofanya mapenzi na mumewe (tendo la ndoa) mfumo wa homoni za kuonyesha Mabadiliko Kuna kiumbe anacho tumboni uanza kuanzia siku 10 - 14 lakini mfumo wa Fertilio yenyewe huweza hutumia chembechembe changa za kuunda yai na kukomaa kupitia maabara ndani ya siku Tatu tu.

View attachment 3179824

Fertilio Ni njia salama ya haraka na mbadala inayoweza kutumiwa zaidi ya njia ya utamaduni, mfumo huu utaweza kutumiwa na nchi mbalimbali kama vile china, Australia, Usa nk.

View attachment 3179825

Hatua hii inaonyesha maendeleo makubwa katika uzazi ambapo sio lazima mama abebe mimba kupitia tu maabara mtoto anaweza kuzaliwa na kuwa na Afya njema huku wazazi wakapunguza mzigo wa kulea mimba miezi 9 badala yake wanasubiri mt
oto tu.
Tunafurahia teknolojia lkn tukae tukijua kuwa siju za mwisho nazo ziko karibu sana,maana ishara mojawapo kubwa ya siku za mwisho ni kuongezeka kwa maarifa...
 
Mtoto huyo ni zaidi ya Yesu.
Kumbe Mtoto kuzaliwa bila Baba au mama it's not an issue

Yaweza kuta Yule mama yake Yesu wakati wao walikuwa na hii tech Halafu wakatupanga kuwa yesu ni mwana wa Mungu sayansi imekuja kuibua mambo mengi Sana ambayo ktk dini tulikuwa tunapangwa
 
Hili tukio Lina nifanya niamini kuwa ni kweli binaadamu Alifanyiwa Cronin na annunak, Ila kwakuwa tulikuwa nyuma kiteknolojia Tukawa hatujui kuwa haya mambo yanawezekana
 
Back
Top Bottom