silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,278
- 1,794
Sijui nani alofuata dini ya mwenziwe au kama wameoana bomani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee!!!! Kwahyo wameoana kimaslahiHapo kila mzazi anaangalia namna atakavyonufaika kwa ndoa hiyo
Lukuvi amevaa kanzu...jibu tayariSijui nani alofuata dini ya mwenziwe au kama wameoana bomaniView attachment 1330401
Ulijuaje mkuuuNilijua tu lazima waoane.
Nilikuwa nawaona.Ulijuaje mkuuu
Kumbe ni love marriageNilikuwa nawaona.
Shilole anakwenda mjengoni Uchebe ajiandaeMtoto wa Mwenye Precision air alioa mtoto wa Basil Mramba.
Mtoto wa Kimei alioa mtoto wa mwenye Victoria petrol stations
Na Uchebe alimuoa Shilole.
Kila mtu na Level zake.
dodge
Lakini si unaona hadi mzee baba mwenyewe kapigwa kanzu?Sijui nani alofuata dini ya mwenziwe au kama wameoana bomaniView attachment 1330401