SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,016
- 13,780
Swali zuri sana aiseeHivi nyie waarabu wa Bongo hayo mapanga mnaofunga kiunoni ni ya nini ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali zuri sana aiseeHivi nyie waarabu wa Bongo hayo mapanga mnaofunga kiunoni ni ya nini ?
Issue ni mahali pa kukutania mkuu,wakina sie tutakutana nao wapi hao!labda JF unaweza kubahatisha...Mtoto wa Mwenye Precision air alioa mtoto wa Basil Mramba.
Mtoto wa Kimei alioa mtoto wa mwenye Victoria petrol stations
Na Uchebe alimuoa Shilole.
Kila mtu na Level zake.
dodge
Duh namimi acha nimuoe mtoto wamwalimu maana baba yangu nimwenyekiti wakijijiMtoto wa Mwenye Precision air alioa mtoto wa Basil Mramba.
Mtoto wa Kimei alioa mtoto wa mwenye Victoria petrol stations
Na Uchebe alimuoa Shilole.
Kila mtu na Level zake.
dodge
Issue ni mahali pa kukutania mkuu,wakina sie tutakutana nao wapi hao!labda JF unaweza kubahatisha...
Duh namimi acha nimuoe mtoto wamwalimu maana baba yangu nimwenyekiti wakijiji
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo aboud ndie mwenye zile gari za abood?Mtoto wa Mwenye Precision air alioa mtoto wa Basil Mramba.
Mtoto wa Kimei alioa mtoto wa mwenye Victoria petrol stations
Na Uchebe alimuoa Shilole.
Kila mtu na Level zake.
dodge
kabisa bora kuoa watoto wa matajiri kuepukana na kero za mizingaMtoto wa Mwenye Precision air alioa mtoto wa Basil Mramba.
Mtoto wa Kimei alioa mtoto wa mwenye Victoria petrol stations
Na Uchebe alimuoa Shilole.
Kila mtu na Level zake.
dodge
una ushahidi?Lukuvi anavyowachukia waislam sijui amelipokeaje hilo
aiseee,weka sura yako na wewe tuioneBinti ndio huyo amekaa kama anapiga mruzi. Au hapo anawaimbia ngonjera?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huna habari siasa ni dini? Wanasiasa wengi kuingia makanisani na misikitini huwa wanafanya hivyo kwa maslahi yao ya kisiasa.Wamemkana Kristu?
kwakweli tutakutana wapi jamani route zetu tofauti 😄Issue ni mahali pa kukutania mkuu,wakina sie tutakutana nao wapi hao!labda JF unaweza kubahatisha...
mzee umesoma jina langu?Hahah inatakiwa na wewe uwe fogo mzee baba la sivyo unaweza kugeuzwa driver wa baba mkwe mkuu.
dodge
Mtoto wa Mwenye Precision air alioa mtoto wa Basil Mramba.
Mtoto wa Kimei alioa mtoto wa mwenye Victoria petrol stations
Na Uchebe alimuoa Shilole.
Kila mtu na Level zake.
dodge