Mtoto wa Lukuvi aolewa na mtoto wa Mohammed Aboud

Mtoto wa Lukuvi aolewa na mtoto wa Mohammed Aboud

Kuna siku Magu alikua anaongea kwny TV akasema mimi nilikua ni Mwl ndio maana nikaoa mwl mwenzangu maana anajua maisha/shida zetu sisi waalimu(Niliona ameongea point mkuu).

dodge
Unajua mara nyingi watu wanaoana kulingana na wanaokuwa nao karibu ktk shughuli za kila siku
 
It's not a General rule mkuu,enjoy ndoa yako boss.

Kuna mshikaji mmoja ni unga unga mwana tu huko mtaani alienda kuoa kwa waziri mmoja siku hizi ni mstaafu akageuzwa kua ni dereva wa familia ya mke,baba/mama mkwe/mashemeji/ndg ni full kumtuma tuma mwana.
me mbona nimeolewa na mtoto wa waziri wakati baba yangu hata kwa mjumbe wa nyumba 10 tu hajulikani

dodge
 
Back
Top Bottom