Mtoto wa Lukuvi aolewa na mtoto wa Mohammed Aboud

Mtoto wa Lukuvi aolewa na mtoto wa Mohammed Aboud

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwa kweli ila itabidi tukaanze kutega Mingo maeneo flani na sisi akina mwajuma ndala ndefu tuonekane
Mtoto wa Mwenye Precision air alioa mtoto wa Basil Mramba.

Mtoto wa Kimei alioa mtoto wa mwenye Victoria petrol stations

Na Uchebe alimuoa Shilole.

Kila mtu na Level zake.

dodge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bw. William Lukuvi hakuweza kuzificha chuki zake dhidi ya Wazanzibari, Waarabu na Waisilamu. Alizumgumza maneno yaliyojaa chuki dhidi yao wala hakuna chombo chochote mpaka hii leo kilicho mkemea kwa maneno yake yaliojaa chuki za wazi kabisa. Nini matokeo ya chuki zake kwa hao nilio wataja? Mtoto wake ameolewa na Mzanzibari, Mwarabu na Musilamu. Maana yake mtoto wake wa kike ameikana dini ya baba yake (ukiristo) na kuingia katika dini ya Uislam. Alhamdulillah hivi ndivyo Mungu anavyojibu.

Nini maoni yako?
 

Attachments

  • B3FF40B6-B9F1-4E4F-BE7A-2999BC8AE368.jpeg
    B3FF40B6-B9F1-4E4F-BE7A-2999BC8AE368.jpeg
    102.1 KB · Views: 9
Bw. William Lukuvi hakuweza kuzificha chuki zake dhidi ya Wazanzibari, Waarabu na Waisilamu. Alizumgumza maneno yaliyojaa chuki dhidi yao wala hakuna chombo chochote mpaka hii leo kilicho mkemea kwa maneno yake yaliojaa chuki za wazi kabisa. Nini matokeo ya chuki zake kwa hao nilio wataja? Mtoto wake ameolewa na Mzanzibari, Mwarabu na Musilamu. Maana yake mtoto wake wa kike ameikana dini ya baba yake (ukiristo) na kuingia katika dini ya Uislam. Alhamdulillah hivi ndivyo Mungu anavyojibu.undefinedNini maoni yako?
Maoni yangu ni piiiiiiiiiiiiip!! Pipiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiip!!
 
Mtoto wa Mwenye Precision air alioa mtoto wa Basil Mramba.

Mtoto wa Kimei alioa mtoto wa mwenye Victoria petrol stations

Na Uchebe alimuoa Shilole.

Kila mtu na Level zake.

dodge
Ndivyo ilivyo ulikuwa hujui! Wale mnaokutana club huko huko mnabebana
unakuta mke na mme wanywaji wa bia mpaka una shangaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom