Mtoto wa Lukuvi aolewa na mtoto wa Mohammed Aboud

Mtoto wa Lukuvi aolewa na mtoto wa Mohammed Aboud

Hivi nyie waarabu wa Bongo hayo mapanga mnaofunga kiunoni ni ya nini ?
Kwanini usianze kuwauliza wamasai?

Unashangaa mapanga wakati Tanzania watu wengi sana wanabeba bastola kihalali kabisa.

Hilo ni vazi rasmi la ki Oman.

Mwanamme bila silaha huyo ana walakin. Kumbuka hilo. Kama huna bastola, huna panga, huna kisu basi beba japo nail cutter.

Punguani wahed.
 
Back
Top Bottom