Mtoto wa Lukuvi aolewa na mtoto wa Mohammed Aboud

Mtoto wa Lukuvi aolewa na mtoto wa Mohammed Aboud

Hakuna linaloshindikana kwenye PESA yani HAKUNA.

ila mwanaume angekua kapuku halafu binti aseme kwa baba eti

baba nimempenda tu vile vile alivyo tutafanikwa mbeleni

nakwambia Lukuvi angechomoa hiyo pua yake am'bandike binti ake mdomoni

maana maneno ya kumpa angeyakosa ingebidi atumie vitendo tu.
 
It's not a General rule mkuu,enjoy ndoa yako boss.

Kuna mshikaji mmoja ni unga unga mwana tu huko mtaani alienda kuoa kwa waziri mmoja siku hizi ni mstaafu akageuzwa kua ni dereva wa familia ya mke,baba/mama mkwe/mashemeji/ndg ni full kumtuma tuma mwana.

dodge
Yeye hakuwa na kazi au alikuwa mzee wa kuunga unga nini ! Kama anakazi yake saangapi wamtume
tatizo ile hali yakujipeleka peleka ili uonekane kwa umeoa kwa waziri[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kumsingizia, ni lini alisema anawachukia acha uchochezi kijana!!!
Wakati wa Bunge la Katiba alipita makanisani na kusema serikali tatu zanzibar itakua nchi yakiislam.Haya sasa wajukuu zake wataitwa Mohammed.
Lukuvi Mkapa Magufuli wapo kimaslahi ya kanisa katoliki.Watoto wa nyerere hao
 
Kwani kusema kuwa Zanzibar itakuwa nchi ya kiisilamu ndiyo kuwachukia wahusika?, yale yalikuwa ni mawazo yake na aliysema kwa uwazi (inawezekana yalikuudhi, lakini haitoshi kusema kuwa anawachukia). Mimi nilidhani kuwa aliwahi kuwatukana/kuwakashifu.
 
Bw. William Lukuvi hakuweza kuzificha chuki zake dhidi ya Wazanzibari, Waarabu na Waisilamu. Alizumgumza maneno yaliyojaa chuki dhidi yao wala hakuna chombo chochote mpaka hii leo kilicho mkemea kwa maneno yake yaliojaa chuki za wazi kabisa. Nini matokeo ya chuki zake kwa hao nilio wataja? Mtoto wake ameolewa na Mzanzibari, Mwarabu na Musilamu. Maana yake mtoto wake wa kike ameikana dini ya baba yake (ukiristo) na kuingia katika dini ya Uislam. Alhamdulillah hivi ndivyo Mungu anavyojibu.

Nini maoni yako?
Wewe umefaidika nini na kubadiri kwake dini?
 
Wakati wa Bunge la Katiba alipita makanisani na kusema serikali tatu zanzibar itakua nchi yakiislam.Haya sasa wajukuu zake wataitwa Mohammed.
Lukuvi Mkapa Magufuli wapo kimaslahi ya kanisa katoliki.Watoto wa nyerere hao
Alipita kanisa gani?
Kanisani ni mwiko kuzungumza habari za maislamu kwa sababu ni kitu kisichotambulika (unknown)
 
Back
Top Bottom