Mtoto wa Lukuvi aolewa na mtoto wa Mohammed Aboud

Mtoto wa Lukuvi aolewa na mtoto wa Mohammed Aboud

Wewe nimekuelewa vizuri mnoo
Hapo nimekubali sasa[emoji123]
Mume ni kiongozi wa familia, ana offer mahitaji ya familia pia ni jukumu lake kuilinda familia. Hiyo ni kama ishara kama mwanajeshi anavyobeba silaha yake kuwa yupo tayari kuilinda mipaka yake.

Hata sherehe za kimila za jamii zetu za zamani kijana akioa/ akitoka jando hukabidhiwa mkuki na sime, kumtambulisha kuwa yeye ni responsible active member of the society. Kumtambulisha kuwa ameiva, ana nguvu na yupo tayari kutumika kwa ajili ya jamii yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fedha na mamlaka zimechochea haya mahusiano... Maslahi ndio msingi

Jr[emoji769]
 
Wacha namie nitafute mchuchu wa kiarabu niuwowe.

Japo similiki sheli, ila ninamiliki kijiwe cha kuuza petroli za Lita moja kwenye makopo kwaajili ya boda boda. So hopefully mtoto wa kiarabu atautuliza kwangu mrume ndago.

-Kaveli-
 
Wacha namie nitafute mchuchu wa kiarabu niuwowe.

Japo similiki sheli, ila ninamiliki kijiwe cha kuuza petroli za Lita moja kwenye makopo kwaajili ya boda boda. So hopefully mtoto wa kiarabu atautuliza kwangu mrume ndago.

-Kaveli-
Heh! You wish
 
huyu mhehe kafanya bonge la mistake, wahehe hawatamsamehe. tunawatakia maisha mema ya ndoa yao.
Kama wewe n mhehe uwe unasoma historia ya kabila lenu. Uislamu ulitamalaki kwa wahehe kipindi cha Mtwa Mkwawa kutokana na urafiki wake na Sultan Abushiri, hivyo kuna wahehe wengi mno ambao n waislam na hata sasa Chief Abdul Mkwawa wa wahehe ni muislam tena mwenye damu ya kiarab kutoka kwa mama. Hivyo uislam kwa wahehe si jambo geni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto wa Mwenye Precision air alioa mtoto wa Basil Mramba.

Mtoto wa Kimei alioa mtoto wa mwenye Victoria petrol stations

Na Uchebe alimuoa Shilole.

Kila mtu na Level zake.

dodge
Stamina alioa Simba SC, Mabeste alioa Level za juu
 
Back
Top Bottom