Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

binafsi nilimaliza form 4 mwaka 2004 mwez wa 11..

matokeo yangu yalitoka march 2005 na yaliandikwa csee 2004...

mwaka wetu ndio mwaka wa kwanza matokeo ya form 4 kutolewa kwenye internet...

huwezi fanya mtihani 2010 matokeo yakatoka 2011 na kuitwa csee 2011... matokeo ya 2010 ya form 4 yanaitwa csee 2010...

na matokeo ya mtihani uliofanyika october 2011 yalitoka mwaka uliofata february 2012 na yalikuwa na heading csee 2011....

naomba ujenge hoja kwa facts

Usiniulize upuuzi kama uelewi kadeki barabara
 
Usiniulize upuuzi kama uelewi kadeki barabara

Kweli sielewi sababu nachojua ikiandikwa CSEE 2011 ni kwamba huyo mtu alimaliza form four 2011... Mimi cheti changu kimeandikwa CSEE 2015 nimemaliza mwaka jana na mwaka jana na nilipokea matokeo yangu mwaka huu..
 

Mkuu ni pale magamba yanapojaribu kupotosha alafu unayakamata.. Hapo ungekuwa bungeni ungetolewa nje na kufungiwa mikutano miwili ya bunge mfululizo...

Matokeo yameandikwa CSEE 2011 eti wanasema kamaliza 2010.. Aibu sana
 
UDOM-SR yake inasoma nini wakuu? hamna hacker humu akachungulie?
 
Alikula sup last academic year tena vizuri tu na alikuja kuzichomoa, sasa kazi kwako unganisha dot hapo
kuna hacker mmoja matata hapa info,anaingiaga sana SR za watu.ngoja akiamka nimwambie azame ila inahitajika reg namba weka hapa mkuu.
 
kuna hacker mmoja matata hapa info,anaingiaga sana SR za watu.ngoja akiamka nimwambie azame ila inahitajika reg namba weka hapa mkuu.
Tehe.. tehee..!! Ngoja kwanza
Lakini mkuu sasa hivi sr sidhani kma inafunguka
 
Tehe.. tehee..!! Ngoja kwanza
Lakini mkuu sasa hivi sr sidhani kma inafunguka
yule hacker wa huku info anazama vizuri tu.jamaa yupo softwar engineering last year.kwenye innovation aliwaonyesha kuwa UDOM-SR haipo sawa na akazama akabadili matokeo.
 
Ahahahaha... na waame

Mkuu hao ndio wabongo utawatishia utakavyo na watanywea lakini ngoja wa rudi kwenye key board sasa utajificha ndani mwaka mzima kwa watakavyo kuweka uchi

Ni majizi tu na watu wasio jua wajibu wao ndio wa kutishika na mtu anayeongea hadharani na kwa uwazi

Hivi magufuli kamtishia nani?

Hata mtoto mdogo anajua magufuli anakula sambamba na wazembe na majizi

Hao ndo wana tishika. Mtu miaka yote uko kazin au kwenye biashara zako unafanya shughuli hizo kwa kufuata taratibu, sio mzembe na nk magufuli atakutisha vipi? Ajabu

Tishikeni na matendo yenu ya ovyo ya gizani, ya kujificha, yasiyo ya haki na nk

Wabongo haki ya nani tena hatutokaa tusogee mbele tukiwa na mitizamo kama hiyo. Nani aliwadanganya kuwa kuna nchi duniani ili endelea kama nchi kwa kuwa na wananchi wezi au wazembe zembe na wasio fuata taratibu zilizowekwa?
 
Baba yake amewaambiya watoto wa wengine vilaza sasa huyo Jesca kwako wewe na Magufli sio kilaza acha kutetea mambo yasiyo kuhusu naye ni kilaza kama wengine

..mimi nimeshangaa sana Raisi kutumia lugha ya dharau na kejeli namna ile.

..kilichonishangaza zaidi ni kwamba Raisi kitaaluma ni mwalimu.

..isije kuwa alipokuwa mwalimu alikuwa akisimanga na kukejeli wanafunzi wake na hata kuwacharanga mijeledi.

..kazi ya ualimu inataka watu wenye upendo na lugha za kutia moyo wanafunzi.
 
jpm,,,,,haya anayo yafanya yananifanya nisione dhamira yake kwa taifa hili,maamuzi mengi yamejaa ubabe
 
Eheeeeh..!! nimekuelewa maelezo yako, karibu ulichokisema ni kweli kabisa kuhusu magufulii na sina sababu ya kutokukubaliana na wewe.

Ila wewe ndio hujanielewa comment yangu, mimi nilichokuwa na kimaanisha ni kwamba watanzania ni watu wadhaifu sana kwenye physical reaction ila ni keyboard worriors yaani kibaya kinachowachukiza hasira zao wanakuja kuzimalizia mtandaoni kma hivi.. si naona huyu bint anavyoshambuliwa hapa madhrani kosa ni la baba ake..!!
Nadhani kwa hapo utakuwa umenielewa
 
kumbe mtoto wa rais nae ni kilaza alipata division four form four ? dah....like father like child..
 
Reactions: BAK

Sawa kabisa na pale TCU kuna column mbili km una apply under NACTE na f6
 
wanafunzi wa UDOM ilikuwa ni special diploma iliyoanzishwa na serikali kwa ajili ya kupunguza uhaba wa walimu wa sayansi..wanafunzi hawakujichagua wenyewe walipelekwa na serikali ya ccm hawana kosa lolote..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…