vilaza hawa watoto wamenyweshwa damu ya ccm
Hee bora ya Mwanaasha amepata Div. IV ya 27 huyu kapata ya 30
Hakuna kitu kinachonisikitisha kama kuanika matokeo ya mtu for the public to see kama Baraza la Mitihani wanavyofanya. Hivi hawa wazee wetu walioko huko NECTA na serikalini kwa ujumla hawajapitia pitia kidogo shule za nchi nyingine waelewe concept za academic privacy jamani, wakoje hawa watu?
Hakuna ubora wowote, ukumbuke hawa watoto wa wanene wote wanapata maisha bora kwa kila mtanzania, wana mahouse girl wa kupiga pasi, kufua mpaka makufuli yao, kupika, kumpangia madaftari kwenye bag, n.k. Kazi yao ni moja tu 'kusoma', sasa kwa nini wapate div 4?Hee bora ya Mwanaasha amepata Div. IV ya 27 huyu kapata ya 30
acha woga wewe au nawewe umetagaHakuna kitu kinachonisikitisha kama kuanika matokeo ya mtu for the public to see kama Baraza la Mitihani wanavyofanya. Hivi hawa wazee wetu walioko huko NECTA na serikalini kwa ujumla hawajapitia pitia kidogo shule za nchi nyingine waelewe concept za academic privacy jamani, wakoje hawa watu?
Aaah, kweli kabisa. Wote vilaza, baba kilaza, mtoto kilaza. Huu ndio muujiza wa Tanzania, kilaza mmoja anawashinda kura watu wenye akili sana na anawaongoza watu wenye vichwa na bongo za hali ya juu. Inabidi tusimwachie huyu, mpaka keleweke, piiiipoooozzzz.
Aaah, kweli kabisa. Wote vilaza, baba kilaza, mtoto kilaza. Huu ndio muujiza wa Tanzania, kilaza mmoja anawashinda kura watu wenye akili sana na anawaongoza watu wenye vichwa na bongo za hali ya juu. Inabidi tusimwachie huyu, mpaka keleweke, piiiipoooozzzz.
we unazani ni nini?
hakuna ubora hapo...wote vilaza tu
Na huyo si katokea Madrassa't Chato.
Huyu sasa sijui atakuja kuwa waziri wa nini? au mkurugenzi fulani, maana si mambo ya kurithishana.st mathew secondary school
[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1071/0102[/TD]
[TD="width: 4%"]F[/TD]
[TD="width: 22%"]JESCA JOHN MAGUFULI[/TD]
[TD="width: 6%"]30[/TD]
[TD="width: 4%"]IV[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Na huyo si katokea Madrassa't Chato.
:juggle::juggle:Kweli kabisa. Inafaa tufanye mabadiliko ya haraka sana, maana mtoto wa Rais ndio hivyo, waziri wake ndio hivyo, halafu hawa ndio wanakuja kurithi! Naona vijukuu vyenu vitakuwa na kazi kubwa sana kama 2015 hatujafanya bidii ya kujitokeza kumpigia kura Rais atae tufaa.
Na huyo si katokea Madrassa't Chato.
Wanafunzi 10 bora Dk Ndalichako aliwataja wanafunzi 10 bora kitaifa kuwa ni Moses Andrew Swa i kutoka shule ya Feza Boys, Rosalyn Tandau kutoka Marian Girls, Mboni Mumba kutoka St Francis Girls na Sepiso Mwamelo kutoka St Franc is Girls. Wengine na shule zao kwenye mabano ni Uwella Rubuga (Marian Girls), Hellen Mpanduji (St Mary's Mazinde Juu), Daniel Wallace Maugo (St Joseph Mil lennium), Benjamin Tilubuzya , (Thomas More Machrina), Simon Mbangalukela (St. Joseph Millennium) na N imrod Rutatora (Feza Boys).
KUNA WA MADRASA HAPO??
'ukuni tu'.