Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Alimtekeza huyu mtoto!mapenz si yamerud baada ya kupitishwa kugombea urais,hajawah kuhoji,baada ya kupata urais ndo akauliza Jesca yuko wapi?akajibiwa Yuko Udom anachukua (sio kusomea) bcom-hrm,maana kwa matokeo hayo nina uhakika ameenda kuchukua degree ya bcom-hrm.Kuna vihesabu hapo cjui anatoa nyago?Fundisho kwa Jpm asipende kuhukumu bila ya kujiridhisha.
 
UKAWA rudini bungeni muombe mwongozo kwa Speaker kuhusu huyo binti wa mkuu, Je, ni halali kwake kuendelea na masomo wakati wenzake wamefukuzwa? Speaker atawajibu vizuri na ataruhusu bunge lijadili, amini nawaambia.
 
Mkuu, huyo ni "KILAZA" kama baba yake maana na yeye aliungaunga!! Familia ya "VILAZA" waliotumia rasilimali za wengine wanaostahili kusomeshwa!!
 
Mkuu hebu fafanua vizuri,usitafutie watu ban humu....alimtelekezaje? Alikuwa haishi naye? Hebu funguka usifanye watu wakatolewa meno bila ganzi
 
Umeandika madudu gani? mbona mpaka sasa ivi yupo darasani wakati kuna walio fukuzwa tena ndani ya masaa 24?!!
Huyo ni wa kumpuuza tu yeye na Dr Mihogo walishakula hela ya ccm na kama kawaida haiwezi kukuacha salama, ubongo wa mwanakijiji wa Detroit umejaa fangasi.
 
NADHANI MUNGU AMESIKIA KILIO CHA WAZAZI NA WANAFUNZI WANYONGE WA NCHII HII, AMBAO WALITIMULIWA KAMA MBWA HUKU WAKIWA HAWANA KOSA CHUONI, BAADA YA KUTIMULIWA WAKAITWA NI VILAZA WAKATI UFAULU WAO NI WA JUU SANA
Hakika sikio la bwana wa majeshi na mkono wake hautawaacha....na tazama bwana wa majeshi kampiga upofu mfalme na kuwaondoa manabii wote juu ya nchi ili wasipate kunena naye
 
Naomba unijibu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…