Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Unavuta ugoro?
 
Hii ni message ya mwisho nitakayomjibu mbweha kama wewe, sio kila kinachojadiliwa ni kutokana na SIASA, mambo yanayojadiliwa ni kuhusu elimu yetu ila wewe pathetic fool unakurupukia kuingizia siasa ukidhani wote tuna akili mbovu kama wewe...and am sure 100% kuwa huna lolote tukiweka vyeti vyetu mezani bado utakuwa kilaza sana kwangu, mafanikio tukitembeleana ukiwa na mashahidi wako still utakuwa wa kufeli tu kwangu...hivyo linapojadiliwa jambo jaribu kushirikisha ubongo wako na sio unashirikisha mishipa ya makalio yako halafu unajiona umeandika la maana mwenyewe...
 
Aki
Akili za matakoni si unaziona? 2014 Mr President JPM alikuwa Rais? Yeye anazungumza kuwa penye makosa lazima parekebishwe. Kaanza na hao mliokwenda kupeleka siasa za kubadili gia angani. Pigeni kelele. Jambeni,mnye,mharishe na mtapike kuanzia hao watakaochujwa na wanaofata lazima utaratibu urudi tu.
 
Hata ndani ya Baraza lake la mawaziri wako vilaza kibao ambao baada ya kufeli darasa la saba wanatuhumiwa kuiba majina ya vipanga kutoka familia masikini. Wengine kwa sasa wanaitwa madokta na maprofesa!

Na wengine waliiba mitihani Galanos, wakafukuzwa, wakaenda kusoma US kwa hela zetu leo ndio amewapa uwaziri. Huu si ndio usanii wenyewe huu? Wale wanyonge akina Asumani walie tu.
 

Pamoja na matusi ulitoyatoa lakn nakuona huelew kitu kabsa. Tulia kwnz uelewe. Hata km Magufuli ana miez kwny urais hyo haihalalishi mtoto wake kuvunja sheria.
Km penye makosa hapataachwa kwann kamuacha huyo Jesca?? Km baba amerdhia mtoto wake kuwa na elimu yenye mashaka makubwa??
 
Viewers(waliosoma) mpaka asubuhi watafikia laki na ushee...hakika watanzania walichukizwa
 
Mwenye sifa hajitangazi baba. Hapo ulipo hata barua ya kiingereza huwezi kuandika. Eti tumwage vyeti? Mna vyeti vya kugushi mlikuwa mnapewa pesa na baba zenu kununua mitihani halafu unajisifia. Fankuuuro. Nimesoma enzi hamna wizi wa mitihani hamna kufoji vyeti. Hapo ulipo ukijua kiswangish kidogo unakitupa kwenye Jf uonekane msomi fankuuuro mtajamba tuu sasa hivi. Tukimaliza hilo tunafatilia vyeti vya kugushi na huponi wewe
 
FANKUUUURO🙁🙁
 
Mpa
Ni mpaka tusikie upande wa pili ndio tutakupa jibu. Sasa hivi vilaza mmechukizwa kuondolewa mkaanze upya. Kwanza kaanza na hao na bado kazi inaendelea tu.
K
 
Hebu tuhesabie. Matokeo ya 2011 yalitoka 2012, kama kujoin 1year certificate tufanye alijoin August 2012 hadi August 2013. Tufanye akili yake ilichangamka akafaulu kusoma diploma 2years 2013 hadi 2015. Hapo ndipo wadau wanauliza anakuwaje mwaka wa pili UDOM? hii ina maana. Hata nikikubaliana na wewe bado alipaswa kuwa 1st year
 
Ficha upumbafu wako wewe,siyo lazima uchangie
 
Mpa
Ni mpaka tusikie upande wa pili ndio tutakupa jibu. Sasa hivi vilaza mmechukizwa kuondolewa mkaanze upya. Kwanza kaanza na hao na bado kazi inaendelea tu.
K

Upande wa pili unataka usikie kipi? Ww unadhan Jesca atakuja kukiri kwamba elimu yake ni ya mwendokasi?
Au unamsubir Magufuli akiri kwmb elimu ya mtoto wake ni mwendokasi?
Je unategemea wapga vigelegele wa Magufuli wakiri kwmb Jesca ana elimu ya mwendokasi??
Kila kitu kiko wazi, Jesca ana elimu ya mwendo kasi.
Km kaanza na hao, kwann asianzie nyumbani??
 
We jesika fankuroo ndio nini?matusi ya mwaka 70 na 60
 
Ha,ha,haaaa.....watu kwa ufukunyuku siwawezi,lakin haya
 
ZEZETA MKUBWA WEWE KUTETEA HATA MAVI.KABLA YA KUWA RAIS ALIKUWA MKULIMA?.HUKUMU UANZIA MADHABAHUNI ANGEEANZA NA KILAZA WAKE ANGEELEWEKA NA KILA MTU.LAKINI KAELEWEKA NA MAZEZETA TU KAMA WEWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…