Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Ila kweli hata mi nimeanza kumuonea huruma hata hivyo unajuwa ni kiasi gani wale wanafunzi wanaumia hebu imagine vichwa vya magazeti ya Jana vilivyoandika hili tukio.
Ni sawa, lkn ujue atakuwa na hali ngumu sana!
Hawa vijana wetu wa mtaani pia hali zao si nzuri! Sakata zima lilikosa busara na huu muendelezo wake tunakosa busara!
 
Tatizo baba yake rais na kutofautisha kumjadili baba yake kupitia mtoto na kumjadili mtoto ni jambo gumu.

Kwa mfano. Siwezi kutetea kumjadili mtoto kama ni kilaza au kipanga. Hajachagua public life.

Lakini naweza kutetea kujadili mtoto wa Magufuli amefikaje Chuo Kikuu kwa maksi zake. Ili kama Magufuli kaharibu mambo na katumia madaraka vibaya tujue.
 
we mzima kweli?
 
Umem-single out huyo binti, lakini jiulize ni watoto wangapi wameathirika NA familia zao!

Serikali (Magufuli), iwaombe radhi waathirika!
 
Ok, unaweza sema hayo yote lkn sio necessary kutaja jina la huyo binti, this is very personal, jina lake lipo singled out, si sahihi na ni kumfedhehesha mtu namna hii!
 
Nimsamehe Kwa Kufeli Na Kupata Div. 4 Hali Alikuwa Na Mazingira Bora Ya Kujisomea Na Sasa Anasoma Chuo Wakati Watoto Kibao Wa Wapika Gongo Na Wauza Matore Waliokuwa Katika Mazingira Magumu Kielimu Wakirudishwa Nyumbani Licha Ya Wengine Kufaulu?
Ili JF Isitishe Mjadala, Taarifa Zitolewe Juu Ya Jesca Alifikaje Chuo Kikuu Maana Hata Kama Alianzia Certificate Angekuwa Mwaka Wa Kwanza Na Siyo Wa Pili
 
Ok, unaweza sema hayo yote lkn sio necessary kutaja jina la huyo binti, this is very personal, jina lake lipo singled out, si sahihi na ni kumfedhehesha mtu namna hii!
Mbona Magufuli a.k.a Baba Jesca alimfedhehesha mtu (Mungu amlaze mahali pema peponi) kwa kumtumbua darajani? Iweje huyu Jesca John Magufuli awe special?
 
Nadhani wengi hatujadili, tuna mdhihaki binti!
Mfano Malisa alijadili in detail bila ya kutumia lugha yà dhihaka, sasa hv wengi JF tuna toa kebehi kwa binti huyu!
We can have a case in civilized way! Huitaji kutumia msuli kuleta ujumbe!
Anyway nimekupata kuwa ni ngumu kutengànisha case hii na huyu binti!
 
nivizur washaur wake wawe wanamshaur vya kuzungumza akiendelea hiv ataleta madhara. mf magar yanayoingia barabara za mabas ya mwendokas chomoen matair mkayauze kaul ya raic hii. wakichomoa wakkamatwa watasema raic kasema. km akna bulembo ndo washaur bac tena
 
Naona UKAWA mmepata pa kupumulia. Rais Magufuli alikuwa sahihi kuwaita vilaza kwa vile mnaoneka a mmetekwa na mjadala wa vilaza
 
Angekuwa sio kilaza angepelekwa kusoma ulaya. Huu utaratibu wa udom kukataa vilaza uwahusu vilaza wote walionao.
 
Watanzania tunapenda maneno matamu hata pale tunapofanya vibaya, hatutaki kuambiwa kweli. Mtu akifeli abembelezwe na kusema bahati mbaya. Vilaza wapo kweli na wanafunzi wenyewe wanaitana vilaza
 
Baba yake ndio chanzo cha yote.mbabe. Hawezi kuomba radhi alichofanya kwa watoto wale ambao habari zinasema wengine walibakwa pale Dodoma na kabla machungu hayajafutika unawaambia hayo yamewatokea kwa vile ni vilaza.
Watu wanamuonea huruma Jesca, lakini baba aombe radhi vinginevyo mtoto ataishi kwa masemango mpaka atajuta kwa Mungu kwa nini alimchagulia kuzaliwa familia kuu
 
hicho ndicho nilitegemea mleta mada ahitimishe nacho.sio eti asamehewe halafu abaki chuoni. na wale ambao hawakusamehewa bali wakafukuzwa kwa makosa ya "wakulu" je?
 
Watanzania tunapenda maneno matamu hata pale tunapofanya vibaya, hatutaki kuambiwa kweli. Mtu akifeli abembelezwe na kusema bahati mbaya. Vilaza wapo kweli na wanafunzi wenyewe wanaitana vilaza
Kweli kabisa, kama alivyo Jesca John Magufuli a.k.a Kilaza.
 
umeshatuma posa nn mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…