Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

angekuwa kamaliza kidato cha sita asingedahiliwa na nacte angedahiliwa na tcu
 
uko sahih mkuu lakn?? mfano almalza 2011, akapata 4 ya 30 akarisit 2012 matokeo yakatoka 2013 akafaulu hamna evdence inayoonesha kasoma a.level. akaenda certficate/diploma kuna uwiano wa kusoma certficate na diploma mwaka mmoja mpaka 2014. ili aende kwenda kusoma degree?? hapa kuna changa la macho
 
Jesca ni Rais wa Vilaza Udom lazima ajadiliwe na Baba Jesca atwambie yule kilaza kafikaje pale hakuna kupaka rangi upepo hapa Jesca lazima ajadiliwe sababu kuna mtoto wa jirani yangu katimuliwa Jesca ni nani tusimjadili?.labda utwambie kuwa ww ni Jesca
 


Majadala wa anayeitwa mtoto wa Magufuli utafungwa pale tutakapopewa majibu yakinagaubaga kwamba kafikaje chuo ilihali ana Division IV tena point 30. hata kigezo cha kuweza kuomba kufagia vyoo vya DART hana. Na lingine ni pale Ikulu itakopotuomba msamaha sisi vilaza ambao kimsingi sio vilaza bali tuna akili na ndio maana tulipangiwa UDOM
 
wakati mnataka mfunge mjadara wa jESCA, mimi nilitaka nilete ya mtt wake mwingine, ili kuonesha kuwa mganga hajigangi, na kauli aliyoitoa alikosea, ila jmani naomba muamini kuwa jamaa naskia hata kwnye familia yake ukifeli anakuita kilaza, tu na kunauwezekano akakufukuza.

malizeni wahuyo mkimaliza niambieni nilite wa mtt wake mwingine niliyesoma nae mcheke mpaka mapsuke mbavu. jamaaa alishindwa kurisisha kipaji cha kukalili kwa woto sjui kakiperekka wap?
 
Mbona wale magwiji watetezi wa mtukufu raisi hawaonekani humu?
Au inawezekana mpo chimbo mnatafuta majibu?
Njoeni jamani ili tusikie na upande wenu tena na ushahidi kama mtoa mada
Mnafanya wengine tuamini maana siyo kawaida yenu
 
huezi ita watoto wa waliokuweka madarakani vilaza ilihali ccm yake ndo chanzo cha tz kuwa na elimu mbovu kiasi hichi na matokeo yaliopelekeakuzalisha failures wengi.



Rais anakosa akiba ya maneno,na hili halitamuacha litamuwinda mpaka 2020
 
tunataka kujua jesca jpm kafikaje fikaje chuo kikuu na kuanza kusoma degree
 
Mbona wale magwiji watetezi wa mtukufu raisi hawaonekani humu?
Au inawezekana mpo chimbo mnatafuta majibu?
Njoeni jamani ili tusikie na upande wenu tena na ushahidi kama mtoa mada
Mnafanya wengine tuamini maana siyo kawaida yenu
Maji marefu haya hawawezi kutia mguu.
 
Naona UKAWA mmepata pa kupumulia. Rais Magufuli alikuwa sahihi kuwaita vilaza kwa vile mnaoneka a mmetekwa na mjadala wa vilaza
na sisi tupo sahihi kumuita kilaza kwa vigezo alivyotoa baba yake
 
Kwanini tuufunge? Je haki ya wale ndugu zetu itapatikanaje? Atumike huyu huyu Jesca ili kupatikana kwa haki ya ndugu zetu
 
Ok, unaweza sema hayo yote lkn sio necessary kutaja jina la huyo binti, this is very personal, jina lake lipo singled out, si sahihi na ni kumfedhehesha mtu namna hii!
Kwahio Mpwa wale waliofukuzwa kama mbwa wao unawachukuliaje? Tena wapo Ambao wamefaulu zaidi yake, nashauri mjadala uendelee hadi Sukari ipatikane
 
Hahaha naona jina jipya nililombatiza jana "Baba Jesca" na "Elimu Ya Mwendokasi" yanazidi kupata umaarufu kuliko Hotuba yake Pale UDSM .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…