Mtoto wa Makamu wa Rais wamarekani J.D Vance awa kivutio kwa mamilioni ya watu duniani ni baada ya kusinzia wakati babake akiapishwa!

Unategemea nini ? Kama tu hadi watu wazima wamechoshwa na hizi siasa za kilaghai ije kuwa mtoto ambaye hata haelewi ni nini ? Hapo ni kumchosha tu huo muda angetumia kwenye playstation huenda angemaliza levels mbili zaidi, hence kusuuza moyo wake... Ila ndio hivyo kuuza sura imekuwa the norm...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…