MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Watoto ni malaika... hizo shughuli za kisiasa kwao sio kitu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii dhana ingekuwa inafanya kazi kuna taasisi zisingekuwepo duniani.Umeshindwa kumshawishi mwanamke mmoja awe chini ya ulinzi wako....ndio uje uombe kutuongoza
Ni kweli ila hiyo suti aliyovaa amependeza mno na hivyo hakuitendea haki; alitakiwa asisinzie!!!J.D is very young.
🤣Umeshindwa kumshawishi mwanamke mmoja awe chini ya ulinzi wako....ndio uje uombe kutuongoza
Daaaaaa yule n Mungu nazani hapa tuko kwenye kipimo cha kibinadamu.Yesu alimuoa nani ?
Maana huyu anaongoza mabilioni ya watu duniani
Kwao kua na familia n mwiko n wa mrengo wa kidini ( sister,padre)...Hii dhana ingekuwa inafanya kazi kuna taasisi zisingekuwepo duniani.
Taasisi hizo zinaongozwa na watu ambao kwao kuwa na famili ni mwiko, lakini hizo taasisi ni kubwa mno duniani na kwa muda miaka mia na kadhaa.
Hii unaleta hoja nyingine kabisa iliyojaa mikanganyiko.Daaaaaa yule n Mungu nazani hapa tuko kwenye kipimo cha kibinadamu.
Jamani nimejibu kutokana na comment yako ( Yesu)Hii unaleta hoja nyingine kabisa iliyojaa mikanganyiko.
Acha nikutaarifu tu kuwa kuna viongozi wengi tu ambao hawakuwahi kuoa au kuolewa na waliongoza ndoa au mpenzi si lolote wala chochote katika suala zima la uongozi.
Acheni ushamba mtoto kusinzia nayo ni top story😂Wadau hamjamboni
Duniani nchi sio marekani pekee hata hivyo James Buchanan hakuwahi kuoaJamani nimejibu kutokana na comment yako ( Yesu)
Nataka hao viongozi wa taifa la marekani kama case study.
Maana haushindwi kuniletea makadinali na mapapa.
Hata akisinzia siyo jambo la kushangaza, ni haki yake. Ni mtoto mdogo.Wadau hamjamboni
Nafikiri ana 40+ yrsJ.D is very young.
40 kamiliNafikiri ana 40+ yrs
Huyo ni mtoto mdogo. Hakupaswa kuwekwa muda mrefu mahali pamoja.Wadau hamjamboni