Mtoto wa Malecela Le Mutuz amvaa January Makamba na Tanesco yake

Kwamba Mama hajui hayo ? Au sababu kamuweka yeye basi anaridhika na kinachoendelea...

Si alisema Kumbe na US umeme unakatika, ila nyumbani ingekuwa Makamba..., Makamba....

Sasa kama mama hajui kuchagua wasaidizi wake tutamsaidiaje ?!!
 
'....unarushaje live mikutano ya mama ili hali umeme haupo sasa wananchi wake watamwona vipi?!' Amehoji Le Mutuz.
Kuna vitu Le Mutuz hajui, hizi live za siku hizi hazirushwi kwa sattelite link, zinatumia kifaa kinachoitwa live view kinatumia ip na kufungwa kwenye camera, hivyo ni camera inarusha live from location kwa kutumia internet na sio sattelite!. Hapa jamaa ni ame bugi step!.
P
 
Kwahiyo hiyo hayo matangazo kutoka kwenye "LIVE VIEW" yanaweza kuwafikia watanzania wasio na umeme ?
 
View attachment 2427760

Hapo juu ni ukurasa maalum wa mitandao ya kijamii wa mtoto wa Malecela ukiwatuhumu Viongozi hasa wahusikao na nishati ya umeme inayoongozwa na Makamba kwa kufanya mambo yasiyo na u-muhimu huku wakiacha Samia akisemwa kuhusu tatizo la mgao wa umeme.

'....unarushaje live mikutano ya mama ili hali umeme haupo sasa wananchi wake watamwona vipi?!' Amehoji Le Mutuz.
Pia TBC1 wanarusha michuanao ya kombe la dunia huku wakijua wananchi hawana umeme na hivyo hawawezi kuona.
 
Mie kila siku nataabishwa na ukosefu wa umeme ila jana niliumia,.nina kuku wangu wamekosa chakula sababu ya mashine za kusaga kudai hawahaganya kazi.
 
Le mobimba, le American spirit speaking the truth you know!

Anyways, Mimi mkazi wa Dodoma, eneo ninaloishi kwa mara ya kwanza mgao umeanza wiki hii jumatatu. Tulivyoambiwa schedule maintainance umeme ulikua unakatika mara chache, kwa sasa ni mgao wenyewe kabisa na ratiba imetoka.
 
View attachment 2427760

Hapo juu ni ukurasa maalum wa mitandao ya kijamii wa mtoto wa Malecela ukiwatuhumu Viongozi hasa wahusikao na nishati ya umeme inayoongozwa na Makamba kwa kufanya mambo yasiyo na u-muhimu huku wakiacha Samia akisemwa kuhusu tatizo la mgao wa umeme.

'....unarushaje live mikutano ya mama ili hali umeme haupo sasa wananchi wake watamwona vipi?!' Amehoji Le Mutuz.
Baba yake miaka aliyokaa madarakani alifanya lipi ili hali isiwe ilivyo.
 
BOMA YEE! Down town pamekuwa kama sweken U KNOW! No umeme, no maji! Kama Tabata sweken mbali sana U KNOW! I mean kama kawaida at Five star Hotel! BOMA YEE!
 
Gharama za kuunganishiwa umeme nazo zimesimama chini ya Makamba na Maharage usipime.

Umbali wa Mita 6 tu kutoka nguzo ya TANESCO ni 320,960/- kwa single phase.
 
Le mobimba, le American spirit speaking the truth you know!

Anyways, Mimi mkazi wa Dodoma, eneo ninaloishi kwa mara ya kwanza mgao umeanza wiki hii jumatatu. Tulivyoambiwa schedule maintainance umeme ulikua unakatika mara chache, kwa sasa ni mgao wenyewe kabisa na ratiba imetoka.
Alaa kume upo Dodoma?
Naomba unikaribishe kushangaa jiji jipya nirudi na chupa za mvinyo.
 
View attachment 2427760

Hapo juu ni ukurasa maalum wa mitandao ya kijamii wa mtoto wa Malecela ukiwatuhumu Viongozi hasa wahusikao na nishati ya umeme inayoongozwa na Makamba kwa kufanya mambo yasiyo na u-muhimu huku wakiacha Samia akisemwa kuhusu tatizo la mgao wa umeme.

'....unarushaje live mikutano ya mama ili hali umeme haupo sasa wananchi wake watamwona vipi?!' Amehoji Le Mutuz.
Huyu ambae anataka ainewe huruma si ni Rais wa nchi? Huruma ya nini tena kama kashindwa kujua nani wa kumsaidia? Si ni Rais mwenyewe toka mwanzo alikuwa ana unga mkono sababu za kijinga za Makamba za kukatika umeme? Mwanzo walisema schedule mantainance kutokana na kutofanyiwa marekebisho miaka mitano ya magufuli ,wakakaja na sababu ya kina cha maji kupungua,wakaja na ukosefu wa mvua...sasa mvua zinanyesha na RC Makalla kathibitisha maji ni mengi na mvua zinatosha sasa watwambie sababu ni nini tena? Huyu anaetaka onewe huruma ndio hutoa meno wakitoa sababu za kijinga!
 
Back
Top Bottom