Mtoto wa Malecela Le Mutuz amvaa January Makamba na Tanesco yake

Mtoto wa Malecela Le Mutuz amvaa January Makamba na Tanesco yake

Uyo Makamba Kipara anautaka uraisi kwahyo anachofanya ni kumlaghai raisi aliyepo ili baadae 2025 atakapoanza kupamba nae raisi aonekane alikuwa mbovu
 
Kuna vitu Le Mutuz hajui, hizi live za siku hizi hazirushwi kwa sattelite link, zinatumia kifaa kinachoitwa live view kinatumia ip na kufungwa kwenye camera, hivyo ni camera inarusha live from location kwa kutumia internet na sio sattelite!. Hapa jamaa ni ame bugi step!.
P
Lemutuz hajui tena?
 
Huyu aliyekuwa anaumwa moyo akaenda kutibiwa kwa ufadhili wa JPM .....sijui na yeye kawekewa kifaa Cha umeme wa moyo, hawa ndio wanasababisha mgao wa umeme
Mzee limutuz anazeeka vibaya,, ni wa kuhurumia tu maana shelflife inaelekea tamati hata hivyo, tumpende mzee wetu lemutuz
 
Lemutuz hajui tena?
Hakuna ajuaye kila kitu!. Hata Blaza, alipozuia mikutano ya vyama vya siasa, alikuwa hajui kuwa hana mamlaka ile, yeye alipiga marufuku kwa nia njema watu wafanye kazi wasikalie siasa. Live za kule majuu zinatumia sattelite link, live za huku kwetu wanatumia microwave link, sasa internet imemaliza kila kitu!, hata DSTV, sasa huhitaji dish!.
P
 
Wajuzi wa global fitna wanajua wazi Le mutuz ni opportunist anasomaga upepo, post zake ni “polycomic” hanaga permanent side wala agenda anaangalia tu namna ya ku attract viewers maisha yaendelee ndo kusema unasoma post zake una smile maisha yanaendelea!
 
Baba yake miaka aliyokaa madarakani alifanya lipi ili hali isiwe ilivyo.

Dah umegusa pabaya
Pale dodoma kuna hospitali ya Anglican iko Ntyuka nje ya mji, inaokoa maisha sana ya wananchi mpaka wao wansiasa huwezi kuamini hadi leo kabarabara ka lami walishindwa ila wameweza kutifua juu ya Mlima Imagi na kujenga ofisi juu ya mawe🥹
 
Mkuu, nafikiri ni beat him. Not kill him.
Bomaye.jpg
 
Yaani kabla sijamaliza kusoma hili bandiko huku kwetu wameshakata umeme nikiwa naanagalia live mechi ya utopolo I mean Yanga.
 
View attachment 2427760

Hapo juu ni ukurasa maalum wa mitandao ya kijamii wa mtoto wa Malecela ukiwatuhumu Viongozi hasa wahusikao na nishati ya umeme inayoongozwa na Makamba kwa kufanya mambo yasiyo na u-muhimu huku wakiacha Samia akisemwa kuhusu tatizo la mgao wa umeme.

'....unarushaje live mikutano ya mama ili hali umeme haupo sasa wananchi wake watamwona vipi?!' Amehoji Le Mutuz.
Sijui yupo kwenye nywele au nguo?
 
Back
Top Bottom