Mtoto wa Malecela Le Mutuz amvaa January Makamba na Tanesco yake

Uyo Makamba Kipara anautaka uraisi kwahyo anachofanya ni kumlaghai raisi aliyepo ili baadae 2025 atakapoanza kupamba nae raisi aonekane alikuwa mbovu
 
Lemutuz hajui tena?
 
Huyu aliyekuwa anaumwa moyo akaenda kutibiwa kwa ufadhili wa JPM .....sijui na yeye kawekewa kifaa Cha umeme wa moyo, hawa ndio wanasababisha mgao wa umeme
Mzee limutuz anazeeka vibaya,, ni wa kuhurumia tu maana shelflife inaelekea tamati hata hivyo, tumpende mzee wetu lemutuz
 
Lemutuz hajui tena?
Hakuna ajuaye kila kitu!. Hata Blaza, alipozuia mikutano ya vyama vya siasa, alikuwa hajui kuwa hana mamlaka ile, yeye alipiga marufuku kwa nia njema watu wafanye kazi wasikalie siasa. Live za kule majuu zinatumia sattelite link, live za huku kwetu wanatumia microwave link, sasa internet imemaliza kila kitu!, hata DSTV, sasa huhitaji dish!.
P
 
Wajuzi wa global fitna wanajua wazi Le mutuz ni opportunist anasomaga upepo, post zake ni “polycomic” hanaga permanent side wala agenda anaangalia tu namna ya ku attract viewers maisha yaendelee ndo kusema unasoma post zake una smile maisha yanaendelea!
 
Baba yake miaka aliyokaa madarakani alifanya lipi ili hali isiwe ilivyo.

Dah umegusa pabaya
Pale dodoma kuna hospitali ya Anglican iko Ntyuka nje ya mji, inaokoa maisha sana ya wananchi mpaka wao wansiasa huwezi kuamini hadi leo kabarabara ka lami walishindwa ila wameweza kutifua juu ya Mlima Imagi na kujenga ofisi juu ya mawe🥹
 
Yaani kabla sijamaliza kusoma hili bandiko huku kwetu wameshakata umeme nikiwa naanagalia live mechi ya utopolo I mean Yanga.
 
Sijui yupo kwenye nywele au nguo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…