Handbag nimetoa kwa mwanangu Cassandrah ambae soon anaanza biashara yake ya kwanza kabisa ya kuuza handbags nzuriiii. 90% ya Handbag zake zitarange kati ya $18-%35. very few $40-$50. Na mbili tatu za $100. Hiyo hapo pichani itauzwa $35. Itakuwepo ya black, red, blue na color zingine anajua mwenyewe… Im so excited about this project maana ntakuwa naspend so much time na mwanangu nikimfundisha vitu kama shipping, package weight, packaging, how to manage her money. Yes, most of the profit zitaenda straight towards her college fund. She has big dreams za kwenda medical school. Miaka minne sio mingi inabidi tuanze kusaka hizo pesa sasa hivi….
Nimemwambia awe anajilipa $100 tu per month basi zingine zote aingize kwa account la sivyo akicheza atajikuta ana ma college loan kibao by the time anamaliza shule….. Tunasubiri meli iingie tukatoe mzigo mtoto aanze biashara… Talking about meli kuingia hivi unajua yani siumwi hata kichwa nikifiria issue ya kwenda kuchuka mzigo wa mwanangu bandarini. Ila jamani ingekuwa Tanzania sasa hivi ningekuwa naumba na tumbo kuwaza jinsi ntakavyo honga kutoa huo mzigo….Dah, something has to be done pale cargo na bandarini, ni ushenzi mtupu……… hhahahhahahahahah…sijatulia…
Wewe Mange una tabia ya kuandika mambo mengiiiii halafu mengine unasahau, unakuja unajicontradict mwenyewe
haya, Bhoke anaanza kuuza pochi kusave college funds, what happened to your utajiri? uwezo mlionao na huyo ex wako sijui boyfriend ( baba watoto wako)? ok then sio babake mzazi mzungu anasave za kina watoto wake right? what happened tu yale mafortune mliyonayo bongo, land in Mbweni,nyumba ya Kinondoni uliyopangisha, hotel unayolipwa shares etc? sio hizo ndio usave for Bhoke's college? Isn't it too much too early kumuingiza mtoto that much into business at such an early age? yes samaki mkunje angali mbichi but sio kwa style hiyo.
At 13 unamuingiza instagtram? wewe na maugomvi yako yaliyozagaa insta, haumuonei huruma mwanao? tena anaenda highschool in US, atakutana na watu wa kila namna kila tabia huoni kuwa sasa unahitaji kuwa naye close sana sana kwa namna zingine nyingi tu? badala yake ndio kabisa unaanza kumexpose kwenye insta? akutane na maneno ya ajabu unayosemana na watu? akute picha zake anavyotukanwa because of you? Think twice utakuja kujilaumu sana.Najua mnatafuta pesa kwa kila namna but sio kwa style hiyo ya kumtumia mtoto aisee, mna shida kiasi hiko? why umnyime mtoto kuenjoy utoto wake? Frank baba Bhoke na wewe unaona hii ni sawa kabisa?? heeee
KAAZI KWELIKWELI,pesa inatafutwa kwa nguvu but sio kwa nguvu hiii.HALI HALISI INAJIELEZA ILA BADO MNATAKA KUENDELEA KUJIITA MATAJIRI ETI HATA NIKILALA TU NYUMBANI MIMI PESA BADO ITAINGIA TU DUUUUUU!