Mtoto wa Mange Kimambi (13yrs) kuanza biashara kwa lazima ili kusevu pesa kwa ajili ya elimu ya juu

Mtoto wa Mange Kimambi (13yrs) kuanza biashara kwa lazima ili kusevu pesa kwa ajili ya elimu ya juu

DOMOKUBWA

Member
Joined
May 28, 2015
Posts
34
Reaction score
26

Handbag nimetoa kwa mwanangu Cassandrah ambae soon anaanza biashara yake ya kwanza kabisa ya kuuza handbags nzuriiii. 90% ya Handbag zake zitarange kati ya $18-%35. very few $40-$50. Na mbili tatu za $100. Hiyo hapo pichani itauzwa $35. Itakuwepo ya black, red, blue na color zingine anajua mwenyewe… Im so excited about this project maana ntakuwa naspend so much time na mwanangu nikimfundisha vitu kama shipping, package weight, packaging, how to manage her money. Yes, most of the profit zitaenda straight towards her college fund. She has big dreams za kwenda medical school. Miaka minne sio mingi inabidi tuanze kusaka hizo pesa sasa hivi….

Nimemwambia awe anajilipa $100 tu per month basi zingine zote aingize kwa account la sivyo akicheza atajikuta ana ma college loan kibao by the time anamaliza shule…..
Tunasubiri meli iingie tukatoe mzigo mtoto aanze biashara… Talking about meli kuingia hivi unajua yani siumwi hata kichwa nikifiria issue ya kwenda kuchuka mzigo wa mwanangu bandarini. Ila jamani ingekuwa Tanzania sasa hivi ningekuwa naumba na tumbo kuwaza jinsi ntakavyo honga kutoa huo mzigo….Dah, something has to be done pale cargo na bandarini, ni ushenzi mtupu……… hhahahhahahahahah…sijatulia…

Wewe Mange una tabia ya kuandika mambo mengiiiii halafu mengine unasahau, unakuja unajicontradict mwenyewe
haya, Bhoke anaanza kuuza pochi kusave college funds, what happened to your utajiri? uwezo mlionao na huyo ex wako sijui boyfriend ( baba watoto wako)? ok then sio babake mzazi mzungu anasave za kina watoto wake right? what happened tu yale mafortune mliyonayo bongo, land in Mbweni,nyumba ya Kinondoni uliyopangisha, hotel unayolipwa shares etc? sio hizo ndio usave for Bhoke's college? Isn't it too much too early kumuingiza mtoto that much into business at such an early age? yes samaki mkunje angali mbichi but sio kwa style hiyo.

At 13 unamuingiza instagtram? wewe na maugomvi yako yaliyozagaa insta, haumuonei huruma mwanao? tena anaenda highschool in US, atakutana na watu wa kila namna kila tabia huoni kuwa sasa unahitaji kuwa naye close sana sana kwa namna zingine nyingi tu? badala yake ndio kabisa unaanza kumexpose kwenye insta? akutane na maneno ya ajabu unayosemana na watu? akute picha zake anavyotukanwa because of you? Think twice utakuja kujilaumu sana.Najua mnatafuta pesa kwa kila namna but sio kwa style hiyo ya kumtumia mtoto aisee, mna shida kiasi hiko? why umnyime mtoto kuenjoy utoto wake? Frank baba Bhoke na wewe unaona hii ni sawa kabisa?? heeee

KAAZI KWELIKWELI,pesa inatafutwa kwa nguvu but sio kwa nguvu hiii.HALI HALISI INAJIELEZA ILA BADO MNATAKA KUENDELEA KUJIITA MATAJIRI ETI HATA NIKILALA TU NYUMBANI MIMI PESA BADO ITAINGIA TU DUUUUUU!

Elimu ni expensive kila mtu anaelewa.Tatizo ni Mange kudai wao ni matajiri sana, sasa kwanini mtoto ahangaishwe? wenzangu na mie tungefanya inaeleweka hali zetu za kawaida.Kwanini tajiri amhangaishe mtoto at 13?

Hilo ndio tatizo asipende kupotosha jamii kuwa wana uwezo sana huko USA na bongo urithi upo kibao, halafu anakuja kutangaza mtoto anauza pochi kusave hela za shule.Mweeee Huyu mtoto alitakiwa kwa sasa awe bsuy na hobby zake zingine na kungojea kuingia highschool.Sasa anahangaika kama mtoto wa mkulima, so tunarudi palepale hali halisi inajieleza.

Kingine anajijua ana mabeef mengi sana na watu haswa mitandaoni imezagaa, kwani mtoto hawezi anza business kimyakimya,kwani lazima ulimwengu ujue kuwa ni ya binti yake? ndio mwanzo wa mtoto kuwa tagged na mapost ya matusi juu ya mamake, dharau kwa mama ianze.

Akikutana zile post anazotukanwa yeye mtoto je? aibuuuu Mange,inama chini ufikiri sio kila kitu ni cha kuweka public,business inaweza kuendelea ikijulikana kama ni ya Mange, then pesa anawekewa mtoto na shughuli zote anafanya mtoto, but kutangaza ni kumexpose mtoto kwenye matatizo na wabaya wake mitandaoni,pili business hii inaonyesha HALI NI NGUMU KAMA ZA WENGINE WENGI TU
 
Sijaona tatizo hapo maana elimu ya Marekani ni very expensive kama anaavoid kuchukua loan hakuna tatizo

Lakini matajiri huwa hawachukui mikopo bana:becky:.

Binafsi sioni ubaya wa kumfundisha mtoto kuhusu life skills mbalimbali.

Ila uzuri na ubaya wa haya ma intaneti ni kwamba yeyote anaweza akawa chochote kile.

Kiwete anaweza akawa gangwe, maskini anaweza akawa bilionea, fisi anaweza akawa jasiri, zumbukuku anaweza akawa msomi nguli...yaani alimuradi tu huyo mtu anaweza kubonyeza bonyeza hivyo vitufe vya herufi kuunda sentensi, basi.
 
Hahahahahahaha hana utajiri wa hivyo anajidai kwenye mitandao tu though sina evidence😀😀 ni vizuri anamfundisha mtoto independence
 
Atajua mwenyewe bhana! Huyu demu maisha yake ni ya hali ya chini sana huko USA wajinga pekee ndiyo watakao amini ana ishi maisha ya kitajiri!
 
Elimu ni expensive kila mtu anaelewa.Tatizo ni Mange kudai wao ni matajiri sana, sasa kwanini mtoto ahangaishwe? wenzangu na mie tungefanya inaeleweka hali zetu za kawaida.Kwanini tajiri amhangaishe mtoto at 13? Hilo ndio tatizo asipende kupotosha jamii kuwa wana uwezo sana huko USA na bongo urithi upo kibao, halafu anakuja kutangaza mtoto anauza pochi kusave hela za shule.Mweeee Huyu mtoto alitakiwa kwa sasa awe bsuy na hobby zake zingine na kungojea kuingia highschool.Sasa anahangaika kama mtoto wa mkulima, so tunarudi palepale hali halisi inajieleza.Kingine anajijua ana mabeef mengi sana na watu haswa mitandaoni imezagaa, kwani mtoto hawezi anza business kimyakimya,kwani lazima ulimwengu ujue kuwa ni ya binti yake? ndio mwanzo wa mtoto kuwa tagged na mapost ya matusi juu ya mamake, dharau kwa mama ianze.Akikutana zile post anazotukanwa yeye mtoto je? aibuuuu Mange,inama chini ufikiri sio kila kitu ni cha kuweka public,business inaweza kuendelea ikijulikana kama ni ya Mange, then pesa anawekewa mtoto na shughuli zote anafanya mtoto, but kutangaza ni kumexpose mtoto kwenye matatizo na wabaya wake mitandaoni,pili business hii inaonyesha HALI NI NGUMU KAMA ZA WENGINE WENGI TU

Sasa mzee unaumizwa na huo upuuzi wake? Hebu mpotezee maisha yaendelee au ndugu yako? Kaamua kuishi hivyo usilazimishe kumbadilisha any way uamuzi ni wamo ila kwangu mimi huko ni kupoteza muda na nguvu bila sababu
 
Elimu ni expensive kila mtu anaelewa.Tatizo ni Mange kudai wao ni matajiri sana, sasa kwanini mtoto ahangaishwe? wenzangu na mie tungefanya inaeleweka hali zetu za kawaida.Kwanini tajiri amhangaishe mtoto at 13? Hilo ndio tatizo asipende kupotosha jamii kuwa wana uwezo sana huko USA na bongo urithi upo kibao, halafu anakuja kutangaza mtoto anauza pochi kusave hela za shule.Mweeee Huyu mtoto alitakiwa kwa sasa awe bsuy na hobby zake zingine na kungojea kuingia highschool.Sasa anahangaika kama mtoto wa mkulima, so tunarudi palepale hali halisi inajieleza.Kingine anajijua ana mabeef mengi sana na watu haswa mitandaoni imezagaa, kwani mtoto hawezi anza business kimyakimya,kwani lazima ulimwengu ujue kuwa ni ya binti yake? ndio mwanzo wa mtoto kuwa tagged na mapost ya matusi juu ya mamake, dharau kwa mama ianze.Akikutana zile post anazotukanwa yeye mtoto je? aibuuuu Mange,inama chini ufikiri sio kila kitu ni cha kuweka public,business inaweza kuendelea ikijulikana kama ni ya Mange, then pesa anawekewa mtoto na shughuli zote anafanya mtoto, but kutangaza ni kumexpose mtoto kwenye matatizo na wabaya wake mitandaoni,pili business hii inaonyesha HALI NI NGUMU KAMA ZA WENGINE WENGI TU

There is nothing bad about that ....kule Kwetu uchagani ....matajiri wote ambao Leo mnawaona wengine wanna magorofa na magari ambayo hata hawayajui ...walianza na vibiashara....kuuza parachichi ...jioni kuuza sigara za kugonga ....pipi etc ....haikuwazuia kucheza na kufurahia utoto ........kimsingi wengi tumejifunza kuchangia UCHUMI wa familia kwa kusaidia kazi za uzalishaji .....rafik Yangu baba yake alikuwa na mabasi na malori ....shule International miaka hiyo ( Arusha School ) lakini likizo kazi yake ILIKUWA kusaidia kazi garage au kusaidia conductor ...Leo naye Ana malori Mengi tu
Watoto wote wa kihindi na hata wazungu toka wakiwa wadogo wanasaidia kazi maofisini kwa wazazi wao angalau two hours every day .....Sasa matajiri wa Kitanzania ...hasa ambao pesa wamepata kwa rushwa na ufisadi wanadhani utajiri ni kumspoil mtoto ...eti ndio kimpenda
 
Nadhani Mange ana akili sana kuanza kumuandaa mtoto mapema kuwa na akili za kijasiriamali.Acheni akili mgando nyie watu
 
hili limeendaga arusha likamdhulumu sister anga pesa....sema sister ni mtu wa kuchukulia poa tu
 
Kufanya biashara ni dalili ya hali ngumu? Kivipi hasa?

Manake kwangu mimi naona hiyo ni income stream ingine ya kuongeza zeroes kwenye akaunti.

Unauliza tena wakati kasema za kumlipia ada ya shule au?
 
miaka13?????
njaa kali sana
hata mimi na umasikini uliokuwepo kwetu sikuanza mihangaiko kwa umri huo
 
Mzee Zuckerberg angekuwa na akili Kama zenu za kutomfundisha Mark ujasiliamali wakati mdogo, leo hii tusingekuwa na Facebook.
 
Philemon, point yako nimeipata ni nzuri na inaeleweka BUT kumbuka huko ni uchagani huko na bongo mjini kwa hao wahindi etc Nimekaa ulaya miaka mingi sana sijaona mtoto wa miaka 13 kwenda kuwasaidia wazazi hizo kazi unazosema everyday.Ulaya wanavyothamini mtoto kuwa mtoto?? haiwezekani, tena nchi niliyokaa mimi wakikugundua unafanya hivyo unaweza funguliwa kesi na jamaa wa child protection.Jamaa wa child labour nao watakusakama hadi ukome ubishi....Anyway point yako naielewa, but tofautisha tu huko ni bongo na kule ni USA na hii dunia ya utandawazi mtoto anaweza akatengeneza pesa na akajifunza mengi sana mazuri at the same time akajifunza mengi machafu humu kwenye mitandao.Mwisho wa siku point yangu kuwa ilikuwa kusema Mange asipotoshe jamiii kuwa kwao wanazo sana wakati hali halisi inajieleza, aseme tu kuwa tunazitafuta kwa bidii zote na tunamshukuru mungu tunapatapata.Namna hiyo watu watajifunza na kupata moyo.Ila asubuhi kujifanya Oprah mchana unajifanya Bill Gates jioni unatangaza mtoto anauza pochi ili apate hela ya shule,wapi na wapi banaaa
 
Back
Top Bottom