Mtoto wa Marehemu Kibonde aomba msaada wa Kisheria kuhusu mirathi ya baba yake

Mtoto wa Marehemu Kibonde aomba msaada wa Kisheria kuhusu mirathi ya baba yake

Ina maana kibonde kwa umri ule hakuwa na mtoto alievuka miaka 18!?
Kama alikuwa nae wa kiume, huyo ndie mrithi halali!

kwetu wakurya..., binti hana URITHI! kwa baba wala mama yake!, URITHI WA BINTI UKO KWA MUMEWE! HUKO ATAKAKO-OLEWA!

PERIOD!.
 
Hii kauli ina prove maneno ya kwamba hata ukiacha usia bado mwanafamilia anaweza kupachimbisha tu akiona kwa akili zake kuwa huo usia una utata, au haum favour yeye na akaenda mahakamani na kufanya mambo kuwa magumu.
Mkuu how come unaandika will ukiwa maututi? Tena upo na mtu ambaye unampendelea yeye tu, hata mwanasheria hayupo na unaandika mpaka Mali isiyokuhusu! Kwa kweli hapana
 
Ajieleze vizuri, huyo aliemuelekeza kuandika waraka sio expert, na vile ni mtoto wa kike afu mdogo aongeze manjonjo zaidi ili kupata hiyo public sympathy anayoitaka ama lah akapambane nao mahakamani tu.
 
Baba yake ndio anaomba msaada? Stop being such an obnoxious primitive
Wewe acheni kulea maovu,,, unapoambiwa kila anachofanya kiwe kizuri au kibaya kina malipo huko mbele ndio hicho, Kati wanayofanya mabaya wangejua kwamba yatawapata wao au Ndugu zao huko mbeleni basi wangeacha , baadhi ya matukio yawe mafunzo na sio kuyaficha kwa kudhani hayapo?

Mtoto wa Kibonde mtu maarufu Sana sio mtu wa kudai vitu hivyo mitandaoni, naamini hii stori ni ya uongo
 
Back
Top Bottom