Mtoto wa Marehemu Kibonde aomba msaada wa Kisheria kuhusu mirathi ya baba yake

Mtoto wa Marehemu Kibonde aomba msaada wa Kisheria kuhusu mirathi ya baba yake

Wewe acheni kulea maovu,,, unapoambiwa kila anachofanya kiwe kizuri au kibaya kina malipo huko mbele ndio hicho, Kati wanayofanya mabaya wangejua kwamba yatawapata wao au Ndugu zao huko mbeleni basi wangeacha , baadhi ya matukio yawe mafunzo na sio kuyaficha kwa kudhani hayapo?

Mtoto wa Kibonde mtu maarufu Sana sio mtu wa kudai vitu hivyo mitandaoni, naamini hii stori ni ya uongo
Hilo andiko amepost instagram kwenye account yake rasmi ya @hildakibonde (cheki screenshot hiyo nimeambatanisha).
Kama upo instragam nenda kacheki.
Bush Dokta
 
Attachments

  • IMG-20260624-WA0077.jpg
    IMG-20260624-WA0077.jpg
    122.2 KB · Views: 11
Hebu ngoja nitafute hiyo
Familia nichonge nao
Moja kwa moja
Najuwa hiyo familia ujehovah dini umewakaa sana

Ova
Aisee
Mkuu hebu fanya the needful kama uko nao karibu watoto wasiteseke
Namkumbuka Ephraim, mtoto wa magorofa ya benki pale, nimecheza nae sana Don Bosco, na pensi yake nyekundu
Mpaka nimekuja kuoa, nilimuita akawa MC pale Diamondi.
Inasikitisha sana
 
Aende pale kituo jumuhishi Cha mambo ya familia.
Akaombe kuwa msimamizi wa mirathi.
Kwenye nyimbo ya afande sele ya Dunia ina mambo Kuna mstari unasema.
Wajomba na mashangazi wanataka japo kidogo
 
We jamaa 🤣
Samahani msaidieni huyo binti mkuu kama Kuna haki anastahili basi aipate haki yake.
Nope!

Nawachukia CCM, Nawachukia machawa wao na wengine wote wanufaikao na hilo kundi dhalimu na la kighaidi.

Babake na huyo binti alikuwa mstari wa mbele sana hapo Clouds kuwapamba CCM.

Huyo hastahili haki yake kushinda wale watoto waliouliwa na Samia Oktoba 29, 2025.

Fuk her and her daddy.
 
Kila MTU ana uhuru wa kuchagua chama anachotaka wala Hilo sio kosa kabisa .

Kosa linaweza kuwa pale ukaitumia platform ya chama chako kufanya mambo ambayo sio sahihi.

Kwahiyo unapojenga hoja tumia ufahamu wako vzr na sio kuandika matusi mitandaoni.
 
Nope!

Nawachukia CCM, Nawachukia machawa wao na wengine wote wanufaikao na hilo kundi dhalimu na la kighaidi.

Babake na huyo binti alikuwa mstari wa mbele sana hapo Clouds kuwapamba CCM.

Huyo hastahili haki yake kushinda wale watoto waliouliwa na Samia Oktoba 29, 2025.

Fuk her and her daddy.
Umesema ukweli ambao wanafiki hawapendi kuusikia
 
Back
Top Bottom