Mtoto wa Mbowe, Dudley Mbowe aanguka akiwa Yatch Club, alazwa ICU

Mtoto wa Mbowe, Dudley Mbowe aanguka akiwa Yatch Club, alazwa ICU

mfano wa kiongozi bora huanzia ktk familia yake mwenyewe, ukishindwa kuiongoza familia yako vizuri kamwe usitarajie kuongoza watu wengine halafu ukategemea wakuelewe au wakuamini. kila mmoja wetu ajitahidi kuwa kiongozi bora wa familia yake.
 
Hahaha wewe ni muandishi wa habari za Afya?! Mbona habari za wagonjwa wengine huleti humu?!

Halafu habari za membership ya Yatch Club, gharama za kujiunga na gharama za kula na kunywa, zina uhusiano gani na ajali au matibabu ya ajali aliyopata?!

Hahaha this is crazy people.
 
Mungu hadhihakiwi jamani ukianguka kwa kula burdani sema tu ukweli kwani Mungu anakuona na unawapa wakati mgumu watu kukutetea .pole Dudley pona haraka
 
Watu wanakula bata daah ngoja nami nikomae angalau hata wanangu waje wale bata maana naona umri wa kula bata unanitupa mkono sasa.​
Pole Dudley.​
 
Back
Top Bottom