Mtag waziri Gwajima
Hao wazito kufuatilia mkuu.Yule mama ni mwepesi sana katka huu ukatili ndo maana nikasema am tag waziri husika.Kwani hakuna serikali za mitaa? Hakuna maafisa ustawi wa jamii? Au maendeleo ya jamii? Hapo kariakoo msimbazi si kipo kituo cha polisi
NGO's za kijami hazipo?
huo ni utesaji na sio haki, huyo mualifu atoe nauli, fidia na kifungo magereza
Yupo umu JF?Hao wazito kufuatilia mkuu.Yule mama ni mwepesi sana katka huu ukatili ndo maana nikasema am tag waziri husika.
Yupo
KwakweliNgoja tusubiri neno lake.
Na kwa muonekano huyo mtt yupo below 13, labda 11 au 10 years. Haonekani hata kama anafika miaka 13Kamata wazazi, boss wa mtoto, na wote waliohusika kumleta Dar kufanya kazi watoe maelezo. Mtoto wa miaka 13 anatakiwa awe shule kidato cha kwanza na sio vinginevyo. Kuwa maskini haihalalishi kuwa mkatili.