TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,199
- 3,307
Matokeo ya sisi wazazi kufeli malezi.Yesu rudi utuchukue.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matokeo ya sisi wazazi kufeli malezi.Yesu rudi utuchukue.
Sala ipi unayozungumzia hapa mzee?Hali imekuwa tete jamani, tusiache kusali sana aisee.
Mbona kwenye hili tukio ni mazingira ya kijijini na hata hao watoto waliofanyiwa ukatili sio kwamba walikua wanaachwa na dada wa kazi? Walikua wanaachwa na huyo kaka yao ambae ndie amewafanyia huo ukatili.Baba na mama wanatoka na mtoto anaacha na binti wa kazi sijui,
Mungu awalinde.
Kuna sehemu pakubwa tunafeli kwenye malezi.Amen mkuu maana hali inatisha sana☹️
I agreeKuna sehemu pakubwa tunafeli kwenye malezi.
Hii ni nje ya mada,,, maana kuna hirani binti yake alikuwa ana tabia ya kupiga denda na wanae tena wa kike.Mbona kwenye hili tukio ni mazingira ya kijijini na hata hao watoto waliofanyiwa ukatili sio kwamba walikua wanaachwa na dada wa kazi? Walikua wanaachwa na huyo kaka yao ambae ndie amewafanyia huo ukatili.
Kusali kunasaidia nini?Hali imekuwa tete jamani, tusiache kusali sana aisee.
Dalili za mwisho wa Dunia hizi!Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara linamshikilia Mtoto mwenye umri wa miaka 14 ambaye ni Mkulima na Mkazi wa Kitongoji cha Chiano Kata ya Nalingu, Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara kwa tuhuma za kubaka na kulawiti Watoto wawili (pichani) ambao ni Ndugu (Watoto wa Dada yake) ambao alikuwa anaachwa nao nyumbani kama Mlezi pindi Dada yake
Kwa Mtwara unyago umejibu ndugu, maana kuwafunda lazima watafite pa kujaribu.Matokeo ya sisi wazazi kufeli malezi.