dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
nyege mbaya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyege ni kitu kibaya Sana ila pia na kukosa Elimu maana Mimi kwetu Bukoba nilianza kuchukia Ngono baada yakuona watu ninaowajua wakifa kwa ukimwinyege mbaya sana
Ngoma noma sana aisee,Nyege ni kitu kibaya Sana ila pia na kukosa Elimu maana Mimi kwetu Bukoba nilianza kuchukia Ngono baada yakuona watu ninaowajua wakifa kwa ukimwi
Hizo memory zimenifanya kujitenga mbali Sana na ngono mpaka naondoka Bukoba sijacheza mechi yoyote.
Then na malezi maana sisi wengine access za wanawake zilikuwa kubwa sana ila tumesoma shule nzuri zenye maadili ya kiroho then MAZINGIRA tuliokulia hayakuturuhusu kuwaza ngono hata siku moja.
😁😁😁 Kama ulisoma Kitabu kinaitwa passed like a shadow Aisee ndo hali halisi nimeona watu wanapukutika SanaNgoma noma sana aisee,
kila nikitaka toka chamani na kuunga vikojoleo live, nikikumbuka tu hali ya mjomba wangu alivyolika na kuisha na kupukutika
fasta najichua, kisha nasema Ahsante Mungu