Mtoto wa miaka 15 auawa na Jeshi la Police Mkoani Mwanza

Mtoto wa miaka 15 auawa na Jeshi la Police Mkoani Mwanza

Na wazaz tujitajid kulea vizuri, tusitengeze panya road, maana police wamechoka kuhangaishwa na watoto wachache waliokosa malez
Nani kakwambia,panya road wanatengenezwa na wazazi?
Hutaki kizaliwa watoto kama Hamza see?
 
hawa mnaoita watoto kila siku dsm wanafyekwa kwa kujihusisha na matukio ya ajabu ajabu.

jitahidini kulea watoto vyema,polisi sio walezi wazuri.
 
Hata Kama ndio wamuue? Eti mtu asikamatwe hadi upelelezi ukamilike Polisi Mungu anawaona, shame
Panya road wanafahamika...ni hao wakikamatwa wazazi wanaoenda wapa mdhamana kesho anarudi mtaani kuja kukutishia..polisi wamefanya kazi nzuri.
 
Unaposema haki haiwezi kupatikana inategemea unamtegemea nani au nini kuipata
Ila tambua haki ya uhai wa mtu kamwe haidhulumiki
Sio kwa polisi wa tz? Polisi wa tz wao ni kusubiri hukumu kwa Mungu tu
 
Back
Top Bottom