Hypersonic
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 829
- 1,564
Tukio hili limetokea huko USA ambako mtoto na mwalimu walishindwa kuelewana na ndipo dogo akamshona teacher risasi.
Bwana mdogo ni mwanafunzi wa darasa la kwanza na hali ya teacher ambaye ana umri wa miaka 30 siyo nzuri yuko chini ya uangalizi wa madaktari.
Shule husika imefungwa kwa muda kupisha uchunguzi ili kubaibaini dogo alipenya vipi na bunduki ili hali kuna ukaguzi kwa kutimia metal detector.
Polisi wamegoma kutaja aina ya silaha iliyohusika.