Mtoto wa miaka sita ampiga risasi mwalim wake

Mtoto wa miaka sita ampiga risasi mwalim wake

Nimeangalia pia hiyo picha nikajiliza maswali mengi ila nikagundua JF ina-undergo evolution na soon itakua Facebook na Sio GT forum! Mark my words
Watoto wamekuwa wengi sana humu na si haba huoni tHD zenye mashiko kama ilivyokuwa miaka ya nyuma. Sasa hivi utakuta habari za kupiga punyeto, kula tunda kwa masihara, demu wangu simuelewi nk
 
Na sasa wanalazimisha tucopy sheria zao ili na sisi huku tupigwe risasi na wanetu
Ati wanaziita haki za binadamu


Mimi nasema samaki mkunje angali mbichi
Na mwana umleavyo ndivyo akuavyo

MITHALI 22:6
Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee.

MiMITHALI 3:13
Usimnyime mtoto wako mapigo; Maana ukimpiga kwa fimbo hatakufa.
Hakuna relevance na humani rights!
Kazitafute haki za binadamu ni zipi (fundamental human rights)
Kinachohusiana hapa ni sheria za usalama WA watu na namna zinavyisimamiwa na kutekelezwa!

Nachojua sheria za USA zina unafuu mkubwa Sana katika kumiliki silaha kwa ajili ya usalama kutokana na mazingira Yao! Na sidhani kama walishawahi kuyashurutisha mataifa mengine kuwa na mfumo huria kama wakwao katika umiliki WA silaha kwa kisingizio Cha haki za binadamu!

Matukio kama haya Huku kwetu yapo tena kwa kiasi kikubwa Ila Aina ya silaha zinatumika ni tofauti kutokana na kwamba hatuna sheria inayozuia umiliki visu, mapanga na mikuki! Kwani hujawahi kusikia huko Kanda maalumu mwanafunzi amemjeruhi mwalimu kwa panga!
Matukio ya kutumia silaha kama bunduki na bastola hujayasikia kwa watumishi WA vyombo vya usalama mathalani polisi au jkt na Askari wengine!
Kwa kuhitimisha tu pont Yako umekosa relevance na human rights.
Sheria za haki za binadamu Sio Sheria za umiliki WA silaha ingawa sheria za umiliki WA silaha zikilegezwa zinaathiri haki za binadamu ikiwemo kupora haki ya kuishi! Ila matukio haya yapo duniani kwetu bila kujali ni USA au Amerika!
 
Back
Top Bottom