Hypersonic
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 829
- 1,564
Tukio hili limetokea huko USA ambako mtoto na mwalimu walishindwa kuelewana na ndipo dogo akamshona teacher risasi.
Bwana mdogo ni mwanafunzi wa darasa la kwanza na hali ya teacher ambaye ana umri wa miaka 30 siyo nzuri yuko chini ya uangalizi wa madaktari.
Shule husika imefungwa kwa muda kupisha uchunguzi ili kubaibaini dogo alipenya vipi na bunduki ili hali kuna ukaguzi kwa kutimia metal detector.
Polisi wamegoma kutaja aina ya silaha iliyohusika.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] yaani unamsalimia mtu anaku shoot?USA wendawazimu wapo kila sehemu. Unaweza msamilia mtu akakutolea pistol kwamba self defense takataka hawa.
mkuu mbona mpwayungu yeye huwa anaelezea tu machungu yake ya kutafuta ajira hana shida, naomba jf wampunguzie adhabu arudi jukwaaniMpwayungu angewauwa wengi sana
wazungu ni wapuuzi mno USA kama wewe ni mweusi, siyo kwa raia mpaka polisi ni dakika tu unakula chuma[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] yaani unamsalimia mtu anaku shoot?
Na sasa wanalazimisha tucopy sheria zao ili na sisi huku tupigwe risasi na wanetu
Ati wanaziita haki za binadamu
Mimi nasema samaki mkunje angali mbichi
Na mwana umleavyo ndivyo akuavyo
MITHALI 22:6
Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee.
MiMITHALI 3:13
Usimnyime mtoto wako mapigo; Maana ukimpiga kwa fimbo hatakufa.
Wao ndio wamekuletea hiyo dini, wala huijui vuzuri kama wao.
Unajishebedua tu.
Haya mambo ya kuruhusu umiliki wa silaha za moto kama izo,,yataendelea kuwacost sana
even so wapo wengi kutuzidi acha waendelee kupunguzana,,,nazani tu dogo target yake ilienda vibaya,,,ila tungekuwa tumeshampoteza.Udhungu