Mtoto wa miezi 11 anakohoa sana ikifika nyakati za usiku akiwa amelala

Mtoto wa miezi 11 anakohoa sana ikifika nyakati za usiku akiwa amelala

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habar wakuu naombeni msaada wenu nna mtoto wangu wa miez kumi na moja na nusu...

Ikifika nyakati za usiku akiwa amelala anakohoa mno Hadi asubuh,anaweza kuwa anasumbuliwa na shida gani
 
Amkia kwenda kwa daktari

Pia....
Msimlaze flat kuanzia kifua

Anajaa makohozi labda au lingine..

Mnamlaza kwa baridi?

Tatizo likiendelea kutoa makohozi kiurahisi kwa mtoto sio kumpa dawa bali atumie inhaler kama ya a kimavu au kina makohozi.. Dawa akiwa na infection.. (uliza daktari hili)

Pole, tupe mrejesho
 
Mara ya mwisho kupata dawa ya minyoo ilikuwa lini?
Je anatumia vitu vya baridi muda wa mchana?

Sogea kwa daktari kituo cha kutolea huduma kilicho idhinishwa na serikali
 
Back
Top Bottom