Kizinga mpemba
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 218
- 194
Kulia sana kwa mtoto wa umri huo ni ishara kwamba maziwa anayonyonya kutoka kwa mama yake hayamtoshi au hayana virutubisho vyote anavyovihitaji mtoto.Msaada wa haraka mtoto wa miezi 2 analia mpaka napata wasiwasi tatizo linaweza kuwa nini mbaya zaidi maziwa hataki kunyonya
maziwa ya mama yanajitosheleza kila kitu anyonye hayohayo ata maji asipewe wala kupondewa makandeKulia sana kwa mtoto wa umri huo ni ishara kwamba maziwa anayonyonya kutoka kwa mama yake hayamtoshi au hayana virutubisho vyote anavyovihitaji mtoto. Kwa maneno machache ni kuwa hashibi huyo!... Jitahidi upate maziwa ya kopo umuanzishie sambamba na maziwa machache ya mama.
Asilimia 70 ya mwili wa binadamu ni maji!.. Hata mtoto aliyezaliwa jana ni sharti apewe maji. Maziwa unaweza kuyaona yakitiririka lakini yasiwe na virutubisho vinavyotakiwa, na hasa kama afya ya mzazi haiko vizuri.... Usikariri tu meku!.maziwa ya mama yanajitosheleza kila kitu anyonye hayohayo ata maji asipewe wala kupondewa makande
Huu ni upotoshajiAsilimia 70 ya mwili wa binadamu ni maji!.. Hata mtoto aliyezaliwa jana ni sharti apewe maji. Maziwa unaweza kuyaona yakitiririka lakini yasiwe na virutubisho vinavyotakiwa, na hasa kama afya ya mzazi haiko vizuri.... Usikariri tu meku!.
Mpe ya kopo labda yako hayatoki ana njaa.Mresho naona ni tumbo maana nimempa maji ya uvuguvugu yalichangwanya na chumvi na sukari kama memba alishauri kanyamaza na usingizi juu
Acha upotoshaji. Maziwa ya mama yanajitosheleza kwa miezi sita ya mwanzo Yana Maji na virutubisho vyote vinavyotakiwa kwenye ukuaji wa mtoto.Asilimia 70 ya mwili wa binadamu ni maji!.. Hata mtoto aliyezaliwa jana ni sharti apewe maji. Maziwa unaweza kuyaona yakitiririka lakini yasiwe na virutubisho vinavyotakiwa, na hasa kama afya ya mzazi haiko vizuri.... Usikariri tu meku!.
1. Anza na kumwona daktari wa watoto. Kama huna bima ya kwenda hospitali kama Regency na unaweza kulipia matibabu ya kuanzia Sh50,000 (au Sh70,000/-) unaweza pia kwenda hospitali kama Tikaya (Buyuni, Chanika), Agha Kan Polyclinic (kama uko maeneo ya Tabata au Banana (maana wana tawi pale karibu na Kituo cha Daladala cha Majumba Sita) Usikimbilie maziwa ya kopo (unless kama mfuko uko vizuri sana), ila kiafa pia siyo mazuri. Hizo ni hospitali za binafsi, unaweza kwenda za serikali pia.Msaada wa haraka mtoto wa miezi 2 analia mpaka napata wasiwasi tatizo linaweza kuwa nini mbaya zaidi maziwa hataki kunyonya
You're insane, upo so obsessed na Lisu hata kujadili hoja za maana unashindwa.Labda wewe ni chadema, na Mungu hampendi Tundu Lisu, who knows?
Haikuwa njaa Wala Nini labda Kama ulikuwa huna maziwa kabisaaa. Ni Hilo tumbo la uchanga husumbua asilimia 70 ya watoto wachangaNi kweli hospitali wanashauri asipewe chochote zaidi ya maziwa ya mama mpaka miezi sita.
Hata mimi mwanangu alikua na hili swala. Mama akaniambia huyo mtoti hashibi, kwahiyo wewe koroga uji mwepesi uwe unampa...
Hahaha mkuu mimi ni me.Haikuwa njaa Wala Nini labda Kama ulikuwa huna maziwa kabisaaa. Ni Hilo tumbo la uchanga husumbua asilimia 70 ya watoto wachanga
Maziwa yako yanajitosheleza kwa kitu so Hakuna kitu Kama njaa kwa mtoto wa miezi miwili.