Mtoto wa mkeo asipokupenda unafanyaje?

Upo na mama yake mwaka wa 2 sasa maana ulimchukua akiwa na mwaka 1, tazoeaje mfano
Mtoto ambae umemchukua akiwa mdogo hivyo hawezi kuleta shida. Kwasababu katika umri huo hawezi jua tofauti ya baba mzazi au mlezi.
 
We mzalishe huyo singo maza,huyo mtoto baada ya kuona una mapenzi na mwanao wa kumzaa ataanza kukuelewa
Na Mtoto akianza kumuelewa amkumbushe yote Yale,ya kua wwe siyo baba yake! Wwe Mtoto wako ni huyo mdogo wake tu!! Na wwe unamlipizia!! Utaona atakavyokua na adabu!!
 
Me nilikuwanae wa ivyo, siku moja narudi nasikia ye na mama yake wananizungumzia vibaya ndani, aisee niliwatimua kwangu yeye na mama yake hadi leo
 
Usilazimishe
Asikuite Baba akuite Uncle
Mpotezee endelea na ratiba zingine
Jishughulishe penye uhitaji tu mfano analia anaomba msaaada


Zaeni mwingine

akikua ataelewa
 
Ha ha ha fala ww
 
kama mtoto anaonana na baba yake halali, its possible amepandikizwa chuki just dont give up hali itakaa sawa akijitambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…