kipapi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 1,059
- 1,390
Utaoaje single mother bro!
Wewe hata umfanyie nin huyo mtoto kwakuwa tayari anamjua baba yake ni nani itakuwa ngumu/itachukua muda kukupenda/kukuzoea. Na hiyo ndio sababu itakayomfanya mama mtu kuona umuhimu/kumfikiria zaidi mzazi mwenzie.
Halafu kitu usichokijua wazazi huwa hawaachani kwahiyo anayokufanyia huyo mtoto ni cha mtoto, mzazi na mzazi mwenzie hawaachani bro! ngoja moto upambe vizuri utaiona ngondo.
Utakuja kukumbuka maneno yangu.