Mtoto wa Mo Dewji[AbbasMoDewji] umejifunza nini kuhusu huu ujumbe wa Baba yake ?

Wazazi wetu sidhani kama wanajivunia kuwa nasi,😁
Unakuta hata call hawapati hasa sisi wanaume
Ilipaswa kwanza sisi tujivunie wao, then baadae hata wao watajivuni kwa mbegu waliyoipanda ya ujasiri, kujali , upendo nk.

Usitegemee kuvuna usipopanda.
 
🤝
 
Wahindi hawasomi kozi za kimaskini kama ualimu,upolisi au Sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…