Mtoto wa Muna Love anasumbuliwa na nini?

Hapa ndipo naipenda jf tutakujua tu

Kwenye uuzaji wa ngada hapo tunashukur kumjua vizur tuwape hongera waanzilishi wa huu mtandao nashangaa serikali inataka kuufunga wakat ni chanzo kizur cha habar.
Jibu umejipa mwenyewe mstari wa mwisho.
HABARI NYINGINE HAWAZIPENDI,LABDA ZA KUWASIFIA😀
 
[emoji23][emoji23]
 
hakika mkuu
 
Yule dogo lazima wamempiga chuma cze amemuuzisha sana sura kwenye social media.tujifunze
 
Sure tetesi zinasema dada kamtoa mtoto kafara, ili apige pesa hizo story wenzake wakaribu wanazo.
 
The jealous, the envy..,....
 
Alikua muigizaji.. Mtu wa kuandaa matamasha..Dada wa hiyari wa Elizabeth Michael.. Rafiki wa wema n muuza ngada mzuri tu kabla hajaokoka
Hiyo ngada anauzia wapi mbona mi simjui labda kama alikuwa anauzia chato huko
 
Hapa ndipo naipenda jf tutakujua tu

Kwenye uuzaji wa ngada hapo tunashukur kumjua vizur tuwape hongera waanzilishi wa huu mtandao nashangaa serikali inataka kuufunga wakat ni chanzo kizur cha habar.
Serikali ya awamu hii ni ya ............
 
Nashindwa kuchangia nabaki kusoma tu,maana Casto namjua vizuri mno yaani mno,ni mshikaji Wangu sana bila acha nibaki msomaji Asee ,nadhani wa bongo wengi BIMA ni tatizo
hata wabunge hawana bima...unacheza na bima wewe?
 
Naomba uquote aya inayosema mtume Paulo alikufa kwa kukatwa kichwa.

Heri kukaa kimya kuliko kuandika mambo usiyoyafahamu ndugu, unadhihirisha upumbavu wako.
 
Kuna wachungaji wakiomba dunia inatetemeka kumbe wanatumia nguvu za kuzimu,,,kwenye wokovu watu wamefanya chaka la uovu,,,ingawa sidhani km muna alikua ivo

Duh! sawa nimekuelewa aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…