Mtoto wa mwanachama muanzilishi wa Hezbollah ataka Ayatollah Auawe!!

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Nimeangalia mahojiano ya huyu jamaa Mossab Hassan Yousef sijaelewa kabisa.

Your browser is not able to display this video.


Anasema bila ya kuuawa Kwa Ayatollah vita hapo Mashariki ya Kati haitaisha.

Baba yake huyu jamaa alikuwa ni mmojawapo wa wanzilishi wa kundi la Hamas.
 
Hivi hawa top leaders wa kiislam kwanini wanapoteza muda kuhangaika na missiles artillery inayowafanya waendelee kuangamia zaidi.

Wakati kuna option nyingine ambayo ni safe ya wao kumuadabisha huyo mzayuni pasipo ku risk uhai wao?

Au ndio tuamini rasmi kuwa zile stori kuhusu alibadili ni spiritual politics??
 
Dunia ina vituko mwamba yupo Ngudu lakini anataka kuwapangia Hamas na Hezbollah cha kufanya watumie fikra zake😂
 
Dunia ina vituko mwamba yupo Ngudu lakini anataka kuwapangia Hamas na Hezbollah cha kufanya watumie fikra zake😂
Sio kuwapangia

Ni shauku tu ya kutaka kuona nao waki practice yale ambayo wanatuhubiria.

Otherwise vitabu vyao kuhusu hizo stori viwe vimeandika kiutani tu

Na ndio maana inapotokea serious problem wanapuuza dua wanachukua bunduki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…