zous
JF-Expert Member
- Sep 25, 2017
- 3,152
- 5,854
Ni maoni yake na Uhuru wa kuongea anaoNgoja Kobaz wa Mbagala, Nao waje watoe maoni kuhusu hili 🙂🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni maoni yake na Uhuru wa kuongea anaoNgoja Kobaz wa Mbagala, Nao waje watoe maoni kuhusu hili 🙂🙂
Sikiliza ujumbe wake; kwa sura we may congrude that he is an Arab and hence we may congrude more, that not all Arabs likes what Hamas, Hezbollah, Houth and Iran are doingMtoto hana jina na baba nae hana jina.
All the best
Watamuua yeye sasaNimeangalia mahojiano ya huyu jamaa Mossab Hassan Yousef sijaelewa kabisa.
View attachment 3129017
Anasema bila ya kuuawa Kwa Ayatollah vita hapo Mashariki ya Kati haitaisha.
Baba yake huyu jamaa alikuwa ni mmojawapo wa wanzilishi wa kundi la Hamas.
Huyo jama huwa ni shida humuWewe pumguani kweli kila habari unamezeshwa tu bila kutumia akili yako unajuq historia yake? Unajua kama ni msaliti na unajua kama anaishi Israel?😂
Awe vyovyote, ila issue ni kwamba kasema Ayatullah akifa middle east itatulia.Nothing less nothing more!Wewe pumguani kweli kila habari unamezeshwa tu bila kutumia akili yako unajuq historia yake? Unajua kama ni msaliti na unajua kama anaishi Israel?😂
Netanyahu amejenga nyumba ya kifahari mno lakini halali humo hata siku moja.Sasa hivi Ayatollah anaishi Kama digidigi, halali kwenye nyumba moja Mara mbili, hagusi simu ya mkononi hata umpe iPhone ya bure haitaki.
Ayatollah ni cheo wewe kondoo sio mtu. Kwamba cheo cha Ayatollah kikifa ndiyo Mazayuni yataendelea kuwanyanyasa wenzao wa middle east?Awe vyovyote, ila issue ni kwamba kasema Ayatullah akifa middle east itatulia.Nothing less nothing more!
Shida siyo kubadili dini, inahitaji akili kubwa kujiondoa kwenye "akili za kupandikizwa" na kuamua kutumika akili zako.Huyu si ndiye alibadili na dini kawa mkristo au sio huyu.
Lengo sio kumuua ayatolla,lengo ni kuend islamic regiem hapo iranLakini kwa ufahamu wangu Ayattollah ni cheo.. Na sio jina.. Ayattollah ni kiongozi mkuu wa nchi na mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi.. ( Supreme Leader) Huyu ana mamlaka kuliko hata Rais wa Iran.. Alikuwepo Ayattollah Khomeini.. Na sasa yupo Ayattollah Ali Khamenei.. Ukimuua Ayattollah wa sasa atachaguliwa Ayattollah mwingine..
Mfano statement hii, "katika mkutano huo Rais ameelekeza"; by default utaelewa ni Rais Nyerere, Mwinyi, Kikwete, au Rais yupi? Mbona wewe ndiye mjinga?Watanzania sijui huwa ni wajinga au ni wapumbavu...Ayatollah sio mtu ni cheo
alikuwepo khomein sasa ni ali khamenei..
Muwe mnasoma na kujua mambo ndo mnapost