Mtoto wa My Girlfriend wangu hajatulia

Bbaba wa kambo mwenyewe hajafunzwa maana angefunzwa asingemuacha mkewe analiwa na mbu anaenda kuhangaika na watoto wa wanaume wenzie:hatari:
Toka nimemuoa huyu inkoskazi wangu cjawahi kulala nje kwasababu ya kimada,huyu my gelfrendi wangu namalizana naye kibingwa mchana,ucku nakuwa na my wife wangu
 
Toka nimemuoa huyu inkoskazi wangu cjawahi kulala nje kwasababu ya kimada,huyu my gelfrendi wangu namalizana naye kibingwa mchana,ucku nakuwa na my wife wangu

mhh kazi kwelikweli!!!
 
Hapo uwa mnaenda wawili na huyu kinda hakutaki maana yule mwingine labda ndio babae akienda kuna mambo anamfanyia ambayo wewe humfanyii labda zawadi na nguo kwa huyo kinda.

Ila kwa babu Muhimu maana utakuwa unapekuwa na yule mwingine na anapekuwa hatari sana.
 
hahahahahaaa hii ni nyumba ndogo yangu sio my wife wangu wa kunyumba

yaani nusura nikuonee huruma kumbe ni nyumba ndogo; well unless unataka kufanya mapinduzi makubwa kunyumba vinginevyo aidha uendane naye na mtoto wake au uachane naye ukae "kifamilia zaidi".
 
Hasara kwa huyo unayemwita mke wako kuangukiwa na mzigo kama wewe!Tabu tupu!
Mie kwa huyu mwanamke wala hanioni hasara mpaka huwa anajiuliza kwann Mungu kanifanya kuwa Mtz,yaani anaona kama Mungu kachelewa ku2kutanisha,yaani na mie ningekuwa Msouth labda tungeanza uhusiano ktambo,hataki kabisa nirudi Tz
 
yaani nusura nikuonee huruma kumbe ni nyumba ndogo; well unless unataka kufanya mapinduzi makubwa kunyumba vinginevyo aidha uendane naye na mtoto wake au uachane naye ukae "kifamilia zaidi".
Nina mikakati ya kuachana naye,sababu kubwa ni huyu mwanawe
 
hahahahahaaha haya bwana mmeshinda msije kuungana mkanikorogea sumu bure:hatari:
Sumu inasemekana ishachakachuliwa na wachina,ni mwendo wa kusagiwa chupa na kukorogewa cement unywe
U
 
Huyu jamaa bado fresh kaingia jana na mie ndiye niliyempeleka akamuone my gelfrendi wangu,labda walikuwa wanafanya mapenzi kwa kutumia video call
 
Mkuu mwenye thread nina maswali mawili au matatu hivi,ina maana ukiwa na kimada mwenye mtoto huruhusiwi kumcontrol yule mtoto au kumuweka sawa??Pili hivi mama yake hakupi chance ya wewe kumueleweshana kumkatalia asifanye mambo ambayo hayafai??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…