Mtoto wa Mzee Malecela amtukana Tundu Lissu na kutoa kauli za vitisho na shari dhidi ya mikutano ya CHADEMA

Mtoto wa Mzee Malecela amtukana Tundu Lissu na kutoa kauli za vitisho na shari dhidi ya mikutano ya CHADEMA

Kwa hiyo yule Mzee Jumanne alikukwa nani mkuu? ni hivi Mwalimu hakufurahishwa na kitendo cha yeye kujihusisha na Zanzibar kujiunga na OIC. Kwa hiyo kitendo hicho kilimkera sana Mwalimu hadi akafikia kumtaja Malecela kuwa ni muhuni na mroho wa madaraka.
Malecela alikosea na familia yake imepotea kisiasa
 
Hili ikiwambia cdm wanakurukia kma ambwa mwitu ukiwambia lissu kakoza kukubalika tena hawaamini eti wanataka kumleta lema abadili upepo huku wananchi wan njaa Kali anakwenda kuwasikiliza
Andika vizuri uzombi wa kiccm unakutoa utimamu!
 
Back
Top Bottom