Mtoto wa ndugu yetu anaona aibu kurudi Tanzania tangu alipokwenda Marekani

Wewe ni kaka wa shetani, kwa hiyo mtoto wa shetani halisi ndio unamuingelea?
 
Nina jamaa lika moja na mimi yupo Uingereza!,ameenda huko miaka takribaΓ±i 15 iliyopita!,maisha yake ni kitendawili kikubwa,huku wazazi wake wote na dada zake 2 wamekufa ameshindwa hata kurudi,.sound nyingi ohhh nimekosa viza....
Ukiona hivyo huyo hana makaratasi bado anabangaiza ila nae atakua mzembe fulani, miaka 15 ni mingi sana kutokwenda bongo kusalimia. Anyway, kuna watu na watu sema wabongo wanapenda kugeneralise watu wote walioko mamtoni kwa malengo tofauti.
Lika = Rika .
 
Mimi ni good example ya watu wanaojitambua, sikuondoka bongo ili eti baadae nirudi au niwekeze bongo, niliondoka kuja kuishi nchi ya asali na maziwa mazima. Kama ni nyumba ninazo 3 na sina mpango nazo wanaishi ndugu. Mie USA ndio mpango mzima, nitawekeza south america huko au ma Thailand nchi zinazoeleweka biashara za uhakika. Rafiki bongo??? tena hao marafiki wa zamani ndio matapeli haswa wanakuona wewe unaeishi mamtoni ndio wa kukuzamisha vizuri.
Hivyo vitoto navitekenya sana hapa Atlanta vipo vya kumwaga ofisini 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 US baby. Nyeee nyee boma yeee .
 
If you can't make it then fake it -Chinese proverb.

Naona unajifariji huwezi kupata stroke.
 
Duuh!... balaaa
 
Umesema 'wanakuja likizo'. Huko waliko ndio kwao. Wawe na makazi mangapi? Uraia Pacha mnawabania, Ila mnataka wajenge!
 
Duh..
 
Mimi ni mwenyekiti wa Kijiji kinaitwa Marekani huku Bujumbura vijijini..... Hebu niambie anaitwa nani huyo ndugu yako?
 
AMerican Spirit Boma Ye ! Boma Liwanza! Mobimba! Kokobanga I'm humbled you know! Down town in manhahen" Super brand.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, rest in peace WILLIAM πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…