Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Firmino anahusika vp mkuuNeyma ni chotara kama mke ni Mzungu basi hakuna Cha ajabu hapo maana firmino ni mchungaji hawezi kumzunguka jamaa yake
hajapigwa. kwa sababu neymar ni chotara baba mweusi mama mzungu. na mke wake neymar ni mzungu. lazima mtoto awe mzungu. ni kama Giggs. Giggs babu yake mzaa baba ni black. kisha babu yake akazaa na mzungu. baba yake Giggs ambaye ni chotara akazaa tena na mzungu ndio akapatikana Giggs.Hivi huyu mtoto wa Neymar mnamuonaje wazee, mwanetu hajapigwa kweli hapa?
Hata kama mama ni mzungu pure, sijawahi kuona mtoto chotara akachukua sifa za mzazi mmoja tuView attachment 3066672
Kumtafuta ndio ishu sasa maana sio maarufu ila ni mzungu pure kabisa aina ya recardo kakaTuoneshe picha ya mama mzazi ndio tutajua kapigwa au laah!
Mwanamke aloezaa nae sio mkewe, ni demu tu mapepe walikutana viwanja. Nashukuru kwa kunielewesha sikua najua kama mtoto anaweza kuchukua rangi ya bibi au babu, sema neymar ana pesa nyingi na sio bwege ni matumaini yangu atakua amejiridhisha na vipimo vya DNA.hajapigwa. kwa sababu neymar ni chotara baba mweusi mama mzungu. na mke wake neymar ni mzungu. lazima mtoto awe mzungu. ni kama Giggs. Giggs babu yake mzaa baba ni black. kisha babu yake akazaa na mzungu. baba yake Giggs ambaye ni chotara akazaa tena na mzungu ndio akapatikana Giggs.
kwani kuna mbrasili ambaye hana damu mchanganyiko?Hivi huyu mtoto wa Neymar mnamuonaje wazee, mwanetu hajapigwa kweli hapa?
Hata kama mama ni mzungu pure, sijawahi kuona mtoto chotara akachukua sifa za mzazi mmoja tuView attachment 3066672
SIjawaho kufatilia kuhusu ilo.kwani kuna mbrasili ambaye hana damu mchanganyiko?
ndio hivyo wamechanganya sana kipindi cha utumwa! Mtu mweusi anaweza kuzaa mweupe!SIjawaho kufatilia kuhusu ilo.
Dah.! sema DNA muhimu mkuu, hawa wakina dada wakiona sehemu kuna hela wanakuaga na hekaheka sanandio hivyo wamechanganya sana kipindi cha utumwa! Mtu mweusi anaweza kuzaa mweupe!
mimi na baba yangu sio maarufu mzee baba. Hao watu maarufu ndio kioo cha jamii kwaiyo kupitia wao ndio tunajifunza, tukisema tuangalie kesi moja moja hatutamaliza leo.tuonyeshe picha yako wewe na baba yako.. Kujadili mambobya neumar sio uzalendo inawezekana mtanzania mwenzetu ambae ni baba yako nae kapigwa..
tuanzie nyumbani
Kwa kweli kuna mashaka sana, ni suala la kutolewa ufafanuzi na wataalamu wa masuala ya vinasabaS. RAMOS alipokuwa PSG alishamwambia sio wake, jamaa akamblock Mshkaji kwa muda
Huyo Dogo si damu yake, kuna wakati alihusishwa na Firmino, ila Ramos alimwambia kidizain akacheck DNA...Neymar akachukia na kumblockKwa kweli kuna mashaka sana, ni suala la kutolewa ufafanuzi na wataalamu wa masuala ya vinasaba
Noma sanaMzungu hazai mweusi
Ni mweusi tu anaweza zaa mzungu au mweusi mwenzie au chotara.blood ya kizungu Ni ya kibaguzi sana