Mtoto wa Neymar

Mtoto wa Neymar

Kwa kweli kuna mashaka sana, ni suala la kutolewa ufafanuzi na wataalamu wa masuala ya vinasaba
Picha ilizoleta walakini ni hizi

Hata Kichaa hadanganywi

Huyo mwenye nywele zenye weusi ni wa MESSI then huyo mwenye golden hair wa Neymar🤣

Wengine wa Suarez
 
Attachments

  • images (83).jpeg
    images (83).jpeg
    45.3 KB · Views: 8
  • images (82).jpeg
    images (82).jpeg
    61.9 KB · Views: 12
Wazungu wana vinasaba vikali sana mkuu. Hata wewe ukitoa copy na mzungu au mchina,lazima atoke kama pure mzungu
Nilikua najua mtoto anakua mzungu pure akiwa bado mtoto mchanga ila kadili anavyokua anaanza kuongezeka rangi ya mzazi wa kiafrika mfano mtoto wa drake alivyokua mchanga alikua mzungu pure ila sasa hivi rangi ya baba inaanza kujitokeza sasa huyu mtoto wa neymar dah.!
 
Hamna mkuu ni kawaida sana. Hata wewe ukitoa sample na mweupe,ukifanana nae kutembea au vidole tu, inatosha jamaa yangu. Hayo mengine we shukuru kupata hiyo sample. Ila kama ni Ke zinakuwa visu mbayaaaa. Mixer ni kali mazee. Ila asiwe wa kiume,kwa dunia ya sasa hivi ilivyoharibika utateseka sana kumlinda. Awage ke
 
Kwenye genitics Hilo suala la kawaida sana,tafuta habari ya Wana ndoa wanaijeria wanaishi London(weusi tii) wakazaa mtoto Mzungu, utata kupima DNA ikaonekana mwanamke Babu wa babu yake alikua Mzungu..
 
Dah.! dingi mbantu mtoto mzungu pure inataka moyo mgumu kukubali
 
Kwenye genitics Hilo suala la kawaida sana,tafuta habari ya Wana ndoa wanaijeria wanaishi London(weusi tii) wakazaa mtoto Mzungu, utata kupima DNA ikaonekana mwanamke Babu wa babu yake alikua Mzungu..
Yes, kuna sehemu nimesoma inawezekana mtoto akarithi genes za babu, mfano Hashim Thabiti nishawahi kuona mahojiano ya mama ake akisema jamaa amerithi urefu kwa babu yake sema sasa hivi dunia imealibika bado kuna umujimu wa kuchukua DNA ukiona hauelewi elewi
 
Sure kuna Jamaa Yangu kalelewa na mama yake,ni mweusi kabisa,but wakati tupo wadogo alikua anatupeleka kwa baba yake kariakoo,baba yake mwarabu Kabisa..ila wamefanana kama mapacha...
 
hajapigwa. kwa sababu neymar ni chotara baba mweusi mama mzungu. na mke wake neymar ni mzungu. lazima mtoto awe mzungu. ni kama Giggs. Giggs babu yake mzaa baba ni black. kisha babu yake akazaa na mzungu. baba yake Giggs ambaye ni chotara akazaa tena na mzungu ndio akapatikana Giggs.
Wa bongo kwa kufuatilia masuala ya wenzetu hatujambo, ila wambie kupeleka wachezaji olypics kule ufaransa.
 
Shida bodi yenu ya kupeleka wachezaji haichuki vipaji inachagua watoto wa nani na nani hapo usitegemee turudi na medali yeyote..
 
wewe umeweka legacy gani kwenye iyo jamii ya wabongo ili tujifunze kwako?
 
Shida bodi yenu ya kupeleka wachezaji haichuki vipaji inachagua watoto wa nani na nani hapo usitegemee turudi na medali yeyote..
Siasa kwenye kila kitu, bongo mtu smart ataishia kupuuzia tu masuala ya siasa, mtu smart akiamua kujihusisha na siasa hapa bongo labda iwe kaona fursa lakini sio ile kujihusisha kwa kuwa siriaz nazo.
 
Back
Top Bottom